Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 739
ila kuna mengi yanasemwa kuwa CCM imekuwa kishinda kwa fitna, sio kura!Kama kweli Robert Gabriel Mugabe ameibuka mshindi wa katika uchaguzi uliofanyika jana basi wazimbabwe hawana tofauti na watanzania. Wazimbabwe ambao wamekuwa katika hali ngumu ya kimaisha na kiuchumi kufuatia sera mbovu za Mugabe halafu wanapata nafasi ya kufanya mabadiliko yenye tija kwa maisha yao lakini wanashindwa kutumia fursa hiyo?
Ni sawa na watanzania wanaolalamika kila siku kwamba ccm imewaletea umasikini na inazidi kuwaongezea umasikini lakini utashangaa watu hao hao ukifika uchaguzi wanapewa khanga, kofia, tshirt, chumvi, sukari na ubwabwa wanaipigia kura tena ccm.
Hujui chochote kuhusu kuhusu Zimbabwe na acha kujifanya political analyst.Hahahahaa...what a joke!
Is there anyone who really expected him to lose?
Come on folks, let's get real for once. Tsvangirai had no snowball's chance in hell of winning that sham election.
Hujui chochote kuhusu kuhusu Zimbabwe na acha kujifanya political analyst.
And that was my point tooShouldn't we take time to wait for valid results? I wonder if they are not trying to measure the reaction of the people as the source is anonymity.
Viva Mugabe,
Kilio changu kimesikika, mabeberu tumewaangusha!
Zimbabwe ni ya Wazimbabwe na sio ya Wazungu!
Nilishasema Mugabe ndie kiongozi bora mwana wamapinduzi aliyesalia!
Viva Mugabe,
Kilio changu kimesikika, mabeberu tumewaangusha!
Zimbabwe ni ya Wazimbabwe na sio ya Wazungu!
Nilishasema Mugabe ndie kiongozi bora mwana wamapinduzi aliyesalia!
Huwa ninashangazwa sana na watanzania wanaojiita wapenda mabadiliko na demokrasia, halafu wanawashabikia watu kama Mugabe na Museveni,Nitampongeza Mugabe kwa Ushindi
Kama kweli Robert Gabriel Mugabe ameibuka mshindi wa katika uchaguzi uliofanyika jana basi wazimbabwe hawana tofauti na watanzania. Wazimbabwe ambao wamekuwa katika hali ngumu ya kimaisha na kiuchumi kufuatia sera mbovu za Mugabe halafu wanapata nafasi ya kufanya mabadiliko yenye tija kwa maisha yao lakini wanashindwa kutumia fursa hiyo?