Mugabe Wa Tz

Salute Comrade.

Katiba ya Chama inasemaje?. Kaivunja?. Nadhani tungeanzia hapa kwanza.

Criticize the act, not a person.
 
Kwan hata Mugabe si alikuwa anachaguliwa na wananchi wake
Haina Mantiki (Logic).

Nimeuliza, katiba inasemaje?. Kaivunja?. Kama hakuivunja ni hila za kibinadamu tu. Tupo hivyo kisilika, si wewe au mimi. Huyu au yule (It's a human nature).

Moja kati ya vitu muhimu katika majadiliano yoyote ni kulifafanua suala lenyewe (Mada mezani) kwa kuongozwa na mantiki na si kingine. Ukisharuhusu hisia, hatuwezi kufikia hitimisho vizuri.

Tusimjadili mtu. Tujadili anachokifanya. Mtu ni dhaifu. Hata wewe ungefanya hivyo.

Ni kama dereva wa daladala. Alipokuwa abiria wa kawaida alikuwa akilaumu mno. Baada ya kuwa dereva na kuota kitambi/pensheni juu anaanza kusahau shida na adha zote alizokuwa akifanyiwa pindi akiwa abiria wa kawaida.

Siungi mkono. Pia naunga mkono (Literally).
 
Jombaa nafkiri hujaelewa heading..
Mm hakuna sehem nilipoandika kwamba anavunja katiba.
Nmeandika Mugabe Wa Tanzania nikiwa namaana kwamba Mugabe alikaa mda mrefu madarakani kwa kuchaguliwa na wananchi wake..
Pia hata mbowe amekaa mda mrefu kwenye chama kama mwenyekiti bila kuvunja katiba na pia wanachama wake wanakubaliana nahilo.. Sasa wapi hujaelewa mpaka unaleta marumbano ya kitoto?
 
Kwani mwl alikaa ktk uenyekiti wa chama kuanzia lini mpk alipostahafu?
 
Kwani mwl alikaa ktk uenyekiti wa chama kuanzia lini mpk alipostahafu?
Tatzo vijana hatujui kujibu namna swali lilivyoulizwa.
Suala ni je ni Mugabe Wa tz kweli au si kweli?
 
Tatzo vijana hatujui kujibu namna swali lilivyoulizwa.
Suala ni je ni Mugabe Wa tz kweli au si kweli?
Si kweli. Unataka kufanya "uhalali" wa ukitakacho kwa lazima. Mugabe alikuwa kiongozi wa Zimbabwe na ZANU-PF kwa miaka mingapi ukijumlishia na ya uongozi wakati wa kudai Uhuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…