mbona hapa TZ tuna kila kitu mfano ;natural gas, gold, diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan and niobium
ila mikakati na busara zetu zipo kwenye misaada kutoka kwa wahisani kama MCC sasa hapo kunatofauti na Mugabe kifikra
inchi ya tatu kwa kutoa dhahabu afrika bado tunaangaika na madawati ya shule za msingi huku wenzetu wanasumbua ubongo kuvumbua mbinu mpya za tekinologia sasa hapo mikakati yetu ni ipi mdau ebu nieleweshe