Mikael Aweda JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 3,129 Reaction score 4,285 May 21, 2011 #41 Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa hata mkuu wetu wa kaya anaangukaga ofisini ila tu imekuwa siri ya usalama wa Taifa. Tusiwacheke wazimbabwe hata kidogo. Wewe fikiria mtu ameanguka hadharani mbele ya TV. Nyumbani kwake anacollapse mara ngapi?
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa hata mkuu wetu wa kaya anaangukaga ofisini ila tu imekuwa siri ya usalama wa Taifa. Tusiwacheke wazimbabwe hata kidogo. Wewe fikiria mtu ameanguka hadharani mbele ya TV. Nyumbani kwake anacollapse mara ngapi?
M Mrekebishaji Senior Member Joined Mar 19, 2009 Posts 168 Reaction score 63 May 21, 2011 #42 'Ni kweli mtu akilia mbele ya watu, jua akiwa peke yake hali ndiyo mbali zaidi'