Mufti Lion adaiwa kuifilisi BAKWATA

kwa kweli hata mimi sio muislam,ila sipendi kusikia au kuona kiongozi wa kiroho kukejeliwa kwa maneno mabaya na ya kihuni,kanakwamba ni size yako,hapana tuwe na nidhamu kwa viongozi wetu,mimi ni mkristo,sifurahishwi na umbea huo kwa viongozi wa kidini ni kumdharirisha,yawezekana unayomtuhumu sio kweli.
Kwahiyo hata zile ahadi za Uchaguzi ambazo hazitakuja wahi kutimizwa nazo unaweza kuwatetea wahusika kuwa si waongo?

Wacha kutoa Povu.... wewe Heshima inaenda kwa anaye jiheshimu.... kama alikosea wadhania ataachwa? aliye Mkubwa ni Allah Tu... Binadamu ni Wadhaifu...
 
Triple like......
Jamaa kasahau viongozi wa dini nao ni binadamu wana udhaifu, hivyo wakitoka nje ya mstari lazima waambiwe....

Back
Top Bottom