Mufindi: Mbunge Cosato Chumi, atoa msaada wa gari ya kubebea Wagonjwa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi ametoa msaada wa gari la kubeba wagonjwa kwa ajili ya matumizi ya kituo cha afya cha Igohole- Mufindi. https:
 
Yule mbunge namkubali sana, nakumbuka kipindi cha kampeni 2015 alituletea jezi za mpira & mpira chuoni kwetu
 
Hilo gari la serikali afu kwani lazima uje utuandikie humu hizo habari za kieneo imekaa kibinafsi zaidi acheni KIKI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…