Muda wa wazungu Macho Bluu kutawala Dunia Umekwisha!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,817
Sasa Wazungu kwishnei na Raisi wa Mwisho Marekani Mzungu alikuwa
George W. Bush baada ya hapo sasa ni wakati wa watu wengine kama mchotara Obama, na sasa anakuja funga kazi kabisa Myahudi Sanders, huyo ndiyo anakuja kumaliza Wazungu kabisa Kiuchumi, Kiutamaduni na Kisiasa vile vile!

Wazungu wa Ulaya macho bluu nguvu yao iliendelea kupungua siku hadi siku baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia kuisha na Wayahudi (Globalists) kuibuka Washindi dhidi ya manationalist waliokuwa wanaongozwa na Adolf Hitler!

Sasa Wayahudi wanazidi kuwaadhibu Wazungu na kuhakikisha wanatokomea na kuishiwa nguvu kabisa!
Wayahudi wanaleta Wakimbizi ktk Dunia nzima hasa nchi za Kiislamu na kuwarundika Ulaya, nchi kama Ujerumani ambayo ndiyo Superpower ya Wazungu macho bluu inasemekna baada ya miaka 30 itakuwa zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wake watakuwa hawana asili ya Ulaya na siyo Wakristo bali Waislamu!

Marekani ndiyo usimeme Wayahudi walishamaliza mchezo kwa kujaza wahamiaji masikini na wasiostarabika ambao wameharibu nchi zao walizotoka na sasa wanakwenda kuharibu na Marekani pia, leo hii Majimbo kama Montana, Vermont, Iowa, au Dakota ambayo hapo zamani yalikuwa na Wazungu tupu wenye asili ya Ulaya zaidi ya 95% leo hii wamechanganywa kwa kupelekewa Wahamiaji ktk Dunia nzima hasa ktk nchi masikini na zisizostaarabika na idadi ya wazungu macho bluu kupungua mpaka asilimia 70 na inazidi kupungua kwa kasi, hapo sijagusa California ambako Wazungu wa Ulaya tayari ni minority na lugha inayoongewa ni Kihispania kinashindana na Kiingereza wkt miaka 20 iliyopita ilikuwa ni Wazungu tupu!!

Ieleweke kwamba hii ilikuwa Vita kubwa kati ya Wayahudi ambao ni waumini wa Globalisation yaani wao hawaamini mipaka ya nchi bali wanataka kuvunja mipaka na Dunia kuwa chombo kimoja kama UN ambacho walikianzisha na upande mwingine ma-nationalist waliokuwa wakiongozwa na Adolf Hitler ambao waliamini kwenye nchi na utamaduni wa watu wake na ndiyo maana wanaitwa nationalist na wale Wayahudi wanaitwa Globalist ikumbukwe kwamba Wayahudi hawana kwao wa kila mahali ni kwao wapo Cape town , Sydney, New York, Brussels, Frankfurt, Paris, Zurich au Amsterdam huko kote wapo maadamu wanatengeneza fedha kwa kifupi wanaamini kwenye Dunia ambayo wao ndiyo watakuwa watawala na kufanya wengine wote watumwa!
 
Ngoja kwanza!!! unamaanisha nini unaposema wazungu? mzungu ni nani? ( msininelee habari ya wale wazungu wetu wale)
 
kwahiyo marekani inatawaliwa na wazungu, lazima waondoke watuachie nchi yetu.

Marekani nchi yako kivipi? Marekani ni nchi ya Wazungu, imejengwa na ktk mavumbi hadi jinsi ilivyo na Wazungu, sasa iweje iwe nchi yako tena?
 
Wayahudi ni wazungu kwa taarifa yako. Hata Wayahudi waliopo isreal walitoka ulaya baada ya vita ya 2 ya dunia
 
myahudi, mdenish, mjerumani, mrusi, muhispania, mgiriki, mcanada,nk wote ni wazungu na lao ni moja
 
Sasa Wazungu kwishnei na Raisi wa Mwisho Marekanmi Mzungu alikuwa George W. Bush baada ya hapo sasa ni wakati wa watu wengine kama mchotara Obama, na sasa anakuja funga kazi kabisa Myahudi Sanders, huyo ndiyo anakuja kumaliza Wazungu kabisa Kiuchumi, Kiutamaduni na Kisiasa vile vile!
...Wazungu wataendelea kutawala Marekani.

...Kuna uwezekano mkubwa waMarekani kuandika tena historia, kwa kuchagua rais wa kwanza mwanamke!

...All indications are, it will be Hillary Clinton and Donald Trump! Japo kwa Repulicans Donald is their worst nightmare.

...But, we have time! We'll see. Nyani Ngabu unasemaje?
 
Wayahudi ni wazungu kwa taarifa yako. Hata Wayahudi waliopo isreal walitoka ulaya baada ya vita ya 2 ya dunia
...Lets get the facts right.

...Wayahudi si wazungu.

...Asili ya wayahudi ni Palestine/Israel. Baada ya WWII wengi walirejea wakishawishiwa na zionist movement, toka maeneo mbalimbali ya Dunia, ulaya ikiwamo.
 
Asilimia kubwa ya Wayahudi unaowaona isreal ni wazungu walio toka ulaya. Wale wenye asili ya Palestina ni wachache sana. Kabla ya vita ya dunia ardhi ya Palestina au isreal walikua wanakaa waarabu kwa zaidi ya asilimia 95. Baada ya Zionist movement kuanza warabu walitimuliwa na wazungu kutoka ulaya walianzisha taifa la isreal. Kuna Wayahudi ambao sio wazungu ila waliishi hapo zamani sana ndo mana wanahostoria wanakwambia huenda yesu walikua sio mzungu coz enzi za yesu Wayahudi walioishi isreal walikua sio wazungu. Hawa kina Bernie Sanders ni wazungu kutoka poland na hawana asili ya Palestina.
 
Marekani nchi yako kivipi? Marekani ni nchi ya Wazungu, imejengwa na ktk mavumbi hadi jinsi ilivyo na Wazungu, sasa iweje iwe nchi yako tena?
wazungu tena!! Mbona nshaambiwa wazungu kwao ulaya? au marikani nayo iko ulaya
 
Asilimia kubwa ya Wayahudi unaowaona isreal ni wazungu walio toka ulaya. Wale wenye asili ya Palestina ni wachache sana. Kabla ya vita ya dunia ardhi ya Palestina au isreal walikua wanakaa waarabu kwa zaidi ya asilimia 95. Baada ya Zionist movement kuanza warabu walitimuliwa na wazungu kutoka ulaya walianzisha taifa la isreal. Kuna Wayahudi ambao sio wazungu ila waliishi hapo zamani sana ndo mana wanahostoria wanakwambia huenda yesu walikua sio mzungu coz enzi za yesu Wayahudi walioishi isreal walikua sio wazungu. Hawa kina Bernie Sanders ni wazungu kutoka poland na hawana asili ya Palestina.
...Twende taratibu.

...Ukishasema mtu ni myahudi si ina maana si mwafrika, mzungu, mwajemi, mwarabu, mhan, mhindi, n.k.?

...Sasa, nijuavyo kama tutasema wayahudi waliotoka ulaya ni wazungu, then na waliotoka Morocco na Tunisia, ni waarabu, sivyo?

...Labda, twende ndani kidogo. Mzungu ni nani? Mtu mweupe (Caucasian)? au mtu wa Ulaya?

...Najaribu kuelewa kidogo, maana dah!
 
Back
Top Bottom