Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
We hujasikia fao la kujitoa hamna mpaka ufikishe miaka 60.
Ndio maana yake boss....hela imeelekezwa kwenye viwanda.....shukuru Mungu mkuu wa kaya anawajali saaaaana watu maaskini wa nchi hii kiasi cha kuelekeza hela za wafanyakazi wa chini ijenge viwanda....watapewa ndugu zao wao wakifa kwa njaa.Nimesikia lkn unataka kuniambia hela zangu nazo wakae nazo?
Miezi 6Salaam kwa wote.
Napenda kufahamu muda maalum ambayo mwajiriwa akisitisha ajira yake au kuacha kazi anaweza kupewa pesa zake NSSF.
Shukran.
Za kwako watakupa kwa kuwa wewe si mtanzania,au uko so specialNimesikia lkn unataka kuniambia hela zangu nazo wakae nazo?
Kama kilakitu kimelamilika yaani taarifa zako ziko fresh, mwajiri amewasilisha michango yako yote na signatories hawajaenda likizo, ndani ya wiki mbili utakuwa na Mpunga wako kibindoni.Salaam kwa wote.
Napenda kufahamu muda maalum ambayo mwajiriwa akisitisha ajira yake au kuacha kazi anaweza kupewa pesa zake NSSF.
Shukran.
Mkuu unauhakika na jibu lake au unamfariji mwenzanko tu?Kama kilakitu kimelamilika yaani taarifa zako ziko fresh, mwajiri amewasilisha michango yako yote na signatories hawajaenda likizo, ndani ya wiki mbili utakuwa na Mpunga wako kibindoni.
Uhakika hiyo.Mkuu unauhakika na jibu lake au unamfariji mwenzanko tu?
Mkuu siku hizi mambo hayapo hivyo. Ukipeleka barua ya kuacha/kuachishwa kazi wanakuambia subiri wafanye uchunguzi na uchunguzi haujulikani utaashi lini maana wanasema inaweza kuwa siku 3, wiki 2 miezi kadhaa kwahiyo wewe subiri,kwakuwa kuna namba yako ya simu tutakupigia. Labda kama wamebadilisha mkuu utupe taarifaUhakika hiyo.
Mimi nilienda 28,mwez wa saba wakabaki na copy ya kitambulisho na barua ya kuacha kazi wakaandika namba ya simu na kunambia nienda tarehe tatu wa kumi.Jumatatu naenda kuwasikilizia.Mkuu siku hizi mambo hayapo hivyo. Ukipeleka barua ya kuacha/kuachishwa kazi wanakuambia subiri wafanye uchunguzi na uchunguzi haujulikani utaashi lini maana wanasema inaweza kuwa siku 3, wiki 2 miezi kadhaa kwahiyo wewe subiri,kwakuwa kuna namba yako ya simu tutakupigia. Labda kama wamebadilisha mkuu utupe taarifa
Tupe mrejesho NSSF wanasemajeMimi nilienda 28,mwez wa saba wakabaki na copy ya kitambulisho na barua ya kuacha kazi wakaandika namba ya simu na kunambia nienda tarehe tatu wa kumi.Jumatatu naenda kuwasikilizia.
Wanasema ni miezi sita toka kuacha au kuachishwa kazi.Tupe mrejesho NSSF wanasemaje
Poa aisee ngoja tusubiriWanasema ni miezi sita toka kuacha au kuachishwa kazi.
Wamezingua sana asee,mm nasubiri mwishoni mwa january,miez sita itakuwa tayarPoa aisee ngoja tusubiri