Naye alikuwepo kumpokea Tundu Lissu?Mie leo magufuli kanifurahisha Sana
Labda avalie mabomu ya kujitoa muhangaNaye alikuwepo kumpokea Tundu Lissu?
Naye alikuwepo kumpokea Tundu Lissu?
Hapana kakubari kushaurika mdogo mdogo anabadilika anaanza kuwa penda wapinzaniNaye alikuwepo kumpokea Tundu Lissu?
Hivi kuna mtu anaweza kunielewesha ni kwanini watu wanaona Magufuli na Polisi leo wamefanya "jambo la maana"?!
Ni kwamba tunadhani Tundu Lissu alitakiwa kukamatwa pale Airport, au?! Ni kama tunadhani hivyo, kwa sababu zipi?!
Hata mlevi, akiona nyumbani pamekuja wageni, ataacha au kupunguza kulewa kwa muda!!! Hata mlevi, akiona nyumbani pana msiba, ataacha au kupunguza ulevi kwa muda!Mkuu, pasipo na kupepesa maneno. Ile kukubali busara kutamalaki ni jambo jema sana.
Mara ngapi busara imewekwa pembeni labda kama tunataka kuwa wageni wa ndivyo sivyo za hapa kwetu?
Sasa hivi mzee anaanza kushaurika na kwa kiwango kikubwa anabadilika mdogo mdogo unajua nguzo muhimu kwake imeondoka ile nguzo ndio ilikuwa inampa nguvu nguzo ilikuwa unazibiti makundi ndani ya chama na yeye huku uraiani anazibiti wapinzani ndio maana alikuwa anajiachia Sana na kauli tata mara mabeberu, mara yeye bora, mara nakutumbua. Sasa nguzo imeondoka atakubari kushaurika na kuwafanyia wapinzani mazuri zaidi ili amalize vizur kutawalaHivi kuna mtu anaweza kunielewesha ni kwanini watu wanaona Magufuli na Polisi leo wamefanya "jambo la maana"?!
Ni kwamba tunadhani Tundu Lissu alitakiwa kukamatwa pale Airport, au?! Ni kama tunadhani hivyo, kwa sababu zipi?!
Hata mlevi, akiona nyumbani pamekuja wageni, ataacha au kupunguza kulewa kwa muda!!! Hata mlevi, akiona nyumbani pana msiba, ataacha au kupunguza ulevi kwa muda!
Don't be blinded with these few hours!!
Makonda alitaman leo angekuwa mkuu wa mkoa wa DsmKabisa huu ni mwanzo mzuri sana kwa siasa za ukombozi za nchi yetu, sikuamini macho yangu kwa namna watanzania walivyojitokeza kumpokea shujaa Lissu. Ni pigo kubwa mno kwa waliokuwa na nia ya kumuua.
Lakini hatuwezi kusema "ameacha ulevi"!! Anachosubiri ni wakti tu aliendeleze!!Mkuu nakubaliana nawe.
Unampongeza huyo yakhe!
Ndiyo maturity hiyo!
Huyo sasa ni kama nyani, akija mtaani tu haponi. Tunaambiwa alikuwa anafanya mazoezi Morogoro baada ya jana kutoka kufanya unyama wa kumuua Lissu huko Dodoma. Yaani huyu damu yake iko mikononi mwa watu.Makonda alitaman leo angekuwa mkuu wa mkoa wa Dsm
Yaani hivi sasa anashaurika kwavile Mkapa hatunae?! Man, you can't be serious!!! Magu isn't that stupid to wash his dirt linen in public! Wait and see kama hujasikia imetolewa hati ya kukamatwa Tundu Lissu... sasa hilo likitokea sijui kutakuwa na tofauti gani na endapo angekamatwa leo, zaidi tu ya endapo wangefanya hivyo leo, ingewachafua sana wao wenyewe!Sasa hivi mzee anaanza kushaurika na kwa kiwango kikubwa anabadilika mdogo mdogo unajua nguzo muhimu kwake imeondoka ile nguzo ndio ilikuwa inampa nguvu nguzo ilikuwa unazibiti makundi ndani ya chama na yeye huku uraiani anazibiti wapinzani ndio maana alikuwa anajiachia Sana na kauli tata mara mabeberu, mara yeye bora, mara nakutumbua. Sasa nguzo imeondoka atakubari kushaurika na kuwafanyia wapinzani mazuri zaidi ili amalize vizur kutawala
Lakini hatuwezi kusema "ameacha ulevi"!! Anachosubiri ni wakti tu aliendeleze!!
Chige ana hoja. Hatujui, pengine Magu kapigwa mkwara na mabeberu? Kwamba kama walioandamana leo wangesambaratishwa kama polisi walivyoahidi, mabeberu wageondoa jina la Tanzania kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati? Imajini hiyo tu ingemuacha wapi Magu?Mkuu, pasipo na kupepesa maneno. Ile kukubali busara tu kutamalaki ni jambo jema sana.
Mara ngapi busara imekuwa ikiwekwa pembeni?
Labda kama tunataka kuwa wageni wa hizi ndivyo sivyo za hapa kwetu?
Mmh! Sijui kama anaweza kutoa pole. Huyu jamaa siyo mpatanishi by nature, bali ni mpenda shari na visasi. Akitoa pole jua litakoma kuchomoza.Magufuli tosha!"
Kuyatambua madhila aliyoyapitia mja wake mola huyu, kumkaribisha nyumbani na neno moja la "pole" tu, linabeba uchawi wote unaohitajika.