Muda umewadia wa kuiburuza bodi Ya Mikopo Mahakamani

Ndugu wanajamvi, kwa kuangalia mwenendo wa serikali hii, iliyoamua kusigina makubaliano, isiyoheshimu sheria na kuamua kutumia ubabe, haya mambo hayavumiliki tena.

Mkataba ilikuwa 4% lakini hadi leo walishapitisha 8% wakaona haitoshi sasa ni 15% . Huu ni suala amabalo halitavumilika kwa levels zozote.

Tutakutana mahakamani halafu tuone kama hamtalipa cost za maamuzi yenu Ya kipuuzi.
Muongeze na suala la retention fee ambayo ilichomekwa tu kiaina
 
Ndugu wanajamvi, kwa kuangalia mwenendo wa serikali hii, iliyoamua kusigina makubaliano, isiyoheshimu sheria na kuamua kutumia ubabe, haya mambo hayavumiliki tena.

Mkataba ilikuwa 4% lakini hadi leo walishapitisha 8% wakaona haitoshi sasa ni 15% . Huu ni suala amabalo halitavumilika kwa levels zozote.

Tutakutana mahakamani halafu tuone kama hamtalipa cost za maamuzi yenu Ya kipuuzi.
Hakuna WA kumfunga paka kengele! Watu wamesitishiwa ajira Na hakuna aliyeenda mahakamani! Hats wakikata 50% tutaishia kulialia
 
Mtawafunga nyuma ya keyboard au? Tanzania kuna watu wa ajabu Sana maneno mengi matendo sifuri ngoja niendelee kubeba mabox.
 
Ndii tatizo la elimu yetu yaani haimfanyi mtu ajikomboe sasa km wasomi wanageuzwa wanavyotaka mimi mkulima wa korosho huku tandahimba ntafanywaje?

suala hili kwa tabia za wasomi walioandikwa kwenye vitabu lazima wangeraise issue lakini wasomi hawa kazi kuwalaumu wenzao na kuwasifia tu
utasikia ohoo! shivji kapotea,
Mara Bansen banna anajitoa ufaham,
Mara lipumba ni prof uchwara,
Mara patrick lumumba ndio maprof. tunaowataka,
Mara tunawasiwasi na Phd ya baba mwenye nyumba yaani wao wakiwa vyuoni ni majungu na wakija mtaani majungu na hata wakija kazini majungu ila kujikomboa wenyewe hawawezi
Khaaaa?!!!!!!
Sasa safari hii MTAKATWA TU
yaani wasomi MTAKATWA TU.
 
Ndugu wanajamvi, kwa kuangalia mwenendo wa serikali hii, iliyoamua kusigina makubaliano, isiyoheshimu sheria na kuamua kutumia ubabe, haya mambo hayavumiliki tena.

Mkataba ilikuwa 4% lakini hadi leo walishapitisha 8% wakaona haitoshi sasa ni 15% . Huu ni suala amabalo halitavumilika kwa levels zozote.

Tutakutana mahakamani halafu tuone kama hamtalipa cost za maamuzi yenu Ya kipuuzi.
Ni kwel mkuu kama vp kusingekuwa na mkataba
 
Back
Top Bottom