Muda umefika vijana tubadili mwelekea

Muda umefika vijana tubadili mwelekea

pangapatuni muhanzagara

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
269
Reaction score
178
Muda umefika kukubali kushikiwa akili na kuacha kufanya Yale tunayoamini

Tufanye kazi kama wanaotuongoza watavyo
Kila kona vijana vijana hii ni kweli

kama ni kweli uzalendo kwanza ni nini?

na uzalendo unaanzzia ukubwani au mtu anakuwa nao kutokana na malezi

mm siamini kampeni za uzalendo inawezza kutubadilisha zaidi ya kuleta haina ya kundi Fulani ambalo linajiona wao ndio wenye nchi na wall ni wasaliti

Tunaanzza kupoteza umoja wa kitaifa kwa kuzalisha makundi

Najua kuna mifano mingi ya ubaguzi na ubabe inaendelea dhambi hii yaweza kututafuna
la sivyo kukubali kushikiwa akili,
WAZO LANGU TUOMBE WAZEE WASTAAFU WASIMAMIE ENEO HILI ILI LISIKAE KISIASA wao wanajua wp walipokosea waje na hiyo misingi ya UZALENDO UADILIFU UAMINIFU UPENDO KUJIAMINI KUJITAMBUA DHAMIRA YA DHATI.

NAOMBA KWA ALIYENIELEWA AJAZIE ILI JAMBO HILI LITUJENGE KWA PAMOJA
 
Hakuna aliyekuelewa....ati unasema kuanzishwa kwa kundi la wazalendo ni Tatizo?
 
Ulivyoanza na ulivyomalizia haujaeleweka. Unataka Vijana tuendelee kushikwa akili au tutumie akili zetu tulizonazo yaani mawazo huru kung'amua jema na baya?
 
Muda umefika kukubali kushikiwa akili na kuacha kufanya Yale tunayoamini

Tufanye kazi kama wanaotuongoza watavyo
Kila kona vijana vijana hii ni kweli

kama ni kweli uzalendo kwanza ni nini?

na uzalendo unaanzzia ukubwani au mtu anakuwa nao kutokana na malezi

mm siamini kampeni za uzalendo inawezza kutubadilisha zaidi ya kuleta haina ya kundi Fulani ambalo linajiona wao ndio wenye nchi na wall ni wasaliti

Tunaanzza kupoteza umoja wa kitaifa kwa kuzalisha makundi

Najua kuna mifano mingi ya ubaguzi na ubabe inaendelea dhambi hii yaweza kututafuna
la sivyo kukubali kushikiwa akili,
WAZO LANGU TUOMBE WAZEE WASTAAFU WASIMAMIE ENEO HILI ILI LISIKAE KISIASA wao wanajua wp walipokosea waje na hiyo misingi ya UZALENDO UADILIFU UAMINIFU UPENDO KUJIAMINI KUJITAMBUA DHAMIRA YA DHATI.

NAOMBA KWA ALIYENIELEWA AJAZIE ILI JAMBO HILI LITUJENGE KWA PAMOJA
Mku ni kampeni nyingi uliwahi kuanzishwa bila mafanikio penye zulma ,uonevu na Kejeli usitegemee jipya. Uzalendo cha kwanza kabisa ni kuhubiri Upendo, Umoja hayo ndo yalitakiwa kuanza huwezi kukaa jukwaani unaongea maneno ya Kejeli ktk taifa ambalo lina Itikadi tofauti tofauti ukaupata Uzalendo hili halipo ni watu hawana cha kuongea wakaamua kuja na hili.Neno uzalendo sio kuitana na kukaa meza kuu ndo uzalendo uje je mabalozi wa nyumba kumi na Wazee wa kimila na Viongozi wa Imani mpaka sasa wameshirikishwa nini. Tuache maneno tufanye kazi
 
Najua mwenye uwezo tu wa kupambanua ndio atanielewa kwa nimegusa sehemu kidogo kidogo na wewe utumie uwezo wako wa kupambanua kama kweli in Mtanzania unayejua tulikotoka
 
Najua mwenye uwezo tu wa kupambanua ndio atanielewa kwa nimegusa sehemu kidogo kidogo na wewe utumie uwezo wako wa kupambanua kama kweli in Mtanzania unayejua tulikotoka
Mku aliyekupatia hayo maadili uliyonayo mpaka ukaja hii mada bila shaka ni wazazi wako na baadhi ya wanaokuzunguka kama ndiyo hivyo waliopotoka ni Sisi vijana au wapi . Kama ni wazazi wetu ambao baada ya kukabidhiwa Makampuni na Viwanda walijineemesha wao na ndugu zao kwa hiyo Wazee wetu ndo walishiriki kuuondoa uzalendo. Sasa bila kurudi ktk misingi Sisi vijana tunabebeshwa maneno yasuyotekelezeka. Mku rudi kwenye uzi wangu uliotangulia ndo ujaribu kupata jibu na kujibu mada sio kuikimbia mada
 
Najua wawezza amini si mawazo yng ila nimekaa na kutafakari azzimio LA Zanzibar ndio kila kitu palipo haribu mwelekeo sasa ndio maana waje wazee wakili wazwazi wapi walikosea na kwa hili tusiwe 50 kwa 50 tukae upande wa kijamaa ndio tujenge nchi watu wengi wameshamjua Magu anataka nn watapita kwa kutumia mlengo huo ila mioyo yao imejaa umimi mwingi
 
ncho amin Uzalendo hau hubiriwi, Uzalendo unakuja wenyewe kutokana na furaha inayotengenezwa kila siku na walio shika hatamu.
 
ni mpumbavu pekee atayekaa kuhubiri na kusikiliza mahubiri ya uzalendo wakati uonevu umetapakaa kila kona na ubaguzi kila sector ya ajira, sasa kijana gani atasikiliza story hizo wakati hata ajira hana?. Huna uhakika wa kula utasikiliza vp mahubiri ya uzalendo wakati anayehubiri yeye ana uhakika wa kula na kushiba?

Hawa wazee ni akina nani?
siku zote mtu akianza kwenda kwenye makabauri ya wazee waliotangulia kuuliza maswali juu ya nini afanye ili kunusuru maisha yake elewa tayari kaishajiongezea 78% ya kufail maisha yake yote. swala hapo aanze kutekeleza alichokiamua kkifanya kunusuru his/her survival na sio kuwauliza wazee kwani walimuuliza nani?
 
Najua wawezza amini si mawazo yng ila nimekaa na kutafakari azzimio LA Zanzibar ndio kila kitu palipo haribu mwelekeo sasa ndio maana waje wazee wakili wazwazi wapi walikosea na kwa hili tusiwe 50 kwa 50 tukae upande wa kijamaa ndio tujenge nchi watu wengi wameshamjua Magu anataka nn watapita kwa kutumia mlengo huo ila mioyo yao imejaa umimi mwingi
Mku unamanisha ujamaa Upi kumbuka jamaa siku zote ni mtu msafi na Urais ni miaka mitano mitano ukibahatika kukaa miaka mitano mingine mitano ni sawa na ktk hiyo miaka kumi sio inayoweka misingi ya Nchi kwa wamepita wangapi ktk huo uongozi na kila mmoja ana strategy yake. Maana yangu fupi ni hii usafi wa Kiongozi unaweza ukaacha strategy ya nchi ukiangali mambo vile yanavyokwenda ni kwa matukio hivi unaona unahamishwa kidogokifogo kutoka ktk viwanda sasa unapelekwa kwenye Uzalendo mwisho utaambiwa bila uzalendo kupata viwanda ni ngumu. Ni kama ile strategy tuliyoendaga kucopy Indonesia yaani big result now ilishia wapi ndugu ila sisi wote ni Watanzani tusiishi kwa kuwasahaulisha Tanzania kwa mambo yatakayotuletea dhambi hapa dunia kwa maslahi ya watu wasiowaminifu kwa faida ya wachache. Na swala la ujamaa sio Ukanda wala Ukabila ww unavyoona ni nani wenye uwezo kutubeba Watanzani kama baba au babu wa nchi hii .Mku umoja ni sehemu ya ujamaa bila umoja hakuna hicho kitu huwezi kuhubiri chuki kwa wapinzani alafu ukaweza kuupata umoja labda umoja wa kukutana kisimani tunakochota maji.
 
ncho amin Uzalendo hau hubiriwi, Uzalendo unakuja wenyewe kutokana na furaha inayotengenezwa kila siku na walio shika hatamu.
Asante Sana ndugu watu wanafikiria uzalendo ni kutamka kunywani
 
Back
Top Bottom