Muda sahihi wa kumpandisha nguruwe

Muda sahihi wa kumpandisha nguruwe

mchau

Member
Joined
Nov 16, 2024
Posts
89
Reaction score
92
---

🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NGURUWE WAKO

---

🔍 Kwa nini muda ni muhimu?
Kupandisha nguruwe jike kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kupata watoto wengi wenye afya.

---

✅ NGURUWE JIKE ANAPOTAYARI KUPANDWA:

1. *Umri
- Umri: miezi 7–8


2. Dalili za joto:
- Kuvimba sehemu za siri na kutoa ute
- Kutulia na kusimama kabisa ukimgusa mgongoni (standing heat)

---

🕒 MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA:
  • Kupandisha kwa mara ya kwanza: Saa 12–24 baada ya kuonekana "standing heat"
  • Kupandisha kurudia (second service): Saa 24–36 baada ya dalili kuanza

Hii huongeza nafasi ya mbegu kukutana na yai kwa wakati sahihi.kwa sababu Yani hutokea kwenye saa la 36hrs -40hrs
Kwa hiyo masaa haya ya 24hrs-36hrs huwa unakuwa ni muda mzuri kwa sababu ni karibia na yai kutoka.

---

📞 Kwa Ushauri na Huduma:
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo
📱 0674740836 | 0792263640

---

Panda kwa wakati – ongeza mafanikio ya uzalishaji!
 
Back
Top Bottom