Muda ni kitu gani?

Muda ni kitu gani?

lalie

Member
Joined
Jan 6, 2024
Posts
26
Reaction score
34
Waungwana naomba msaada wenu ili mniongezee ujuzi maana ninao haba. Naomba mniambie: Muda ni kitu gani?
 
Muda ni wendelezi usoshuba (nonspatial continuum) ambapo matukio hufanyika kutoka wakati uliopita kupitia sasa hadi wakati ujao kwa mfuatano unaoonekana kutotenguka.

Kifupi, muda ni kipimo cha kufanyika kwa tukio.
 
Back
Top Bottom