BenElohimy Senior Member Joined Sep 21, 2021 Posts 181 Reaction score 223 Mar 20, 2022 #1 Yaani wewe mwenyewe unaandika uzi, halafu wanaotoa neno kwenye uzi wako wanapata maoni mengi kuliko wewe uliyeandika. Kitaaalam hii asliyetoa maoni kwenye uzi wako yeye ana maoni mazuri kuliko wewe [emoji1787][emoji1787] Jitahidi.
Yaani wewe mwenyewe unaandika uzi, halafu wanaotoa neno kwenye uzi wako wanapata maoni mengi kuliko wewe uliyeandika. Kitaaalam hii asliyetoa maoni kwenye uzi wako yeye ana maoni mazuri kuliko wewe [emoji1787][emoji1787] Jitahidi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,909 Reaction score 193,871 Mar 20, 2022 #2 Kawaida sana...
El murjeb JF-Expert Member Joined Nov 15, 2019 Posts 483 Reaction score 2,126 Mar 20, 2022 #3 BenElohimy said: Yaani wewe mwenyewe unaandika uzi, halafu wanaotoa neno kwenye uzi wako wanapata maoni mengi kuliko wewe uliyeandika. Kitaaalam hii asliyetoa maoni kwenye uzi wako yeye ana maoni mazuri kuliko wewe [emoji1787][emoji1787] Jitahidi. Click to expand... Kujitahidi kupi,,watu waanze kutumia ndumba umu au,,?
BenElohimy said: Yaani wewe mwenyewe unaandika uzi, halafu wanaotoa neno kwenye uzi wako wanapata maoni mengi kuliko wewe uliyeandika. Kitaaalam hii asliyetoa maoni kwenye uzi wako yeye ana maoni mazuri kuliko wewe [emoji1787][emoji1787] Jitahidi. Click to expand... Kujitahidi kupi,,watu waanze kutumia ndumba umu au,,?
N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,854 Reaction score 5,714 Mar 20, 2022 #4 nalo ni neno! Wakati kuna wengine hata wakiandika kwa kuweka alama za kukohoa tu wanapata views na likes maelfu kwa maelfu, wengine hata uandike mada ya namna gani hakuna anayehangaika na wewe!!!
nalo ni neno! Wakati kuna wengine hata wakiandika kwa kuweka alama za kukohoa tu wanapata views na likes maelfu kwa maelfu, wengine hata uandike mada ya namna gani hakuna anayehangaika na wewe!!!
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 7,076 Reaction score 10,552 Mar 20, 2022 #5 BenElohimy said: Yaani wewe mwenyewe unaandika uzi, halafu wanaotoa neno kwenye uzi wako wanapata maoni mengi kuliko wewe uliyeandika. Kitaaalam hii asliyetoa maoni kwenye uzi wako yeye ana maoni mazuri kuliko wewe [emoji1787][emoji1787] Jitahidi. Click to expand... Inategemea na uzi na uandishi
BenElohimy said: Yaani wewe mwenyewe unaandika uzi, halafu wanaotoa neno kwenye uzi wako wanapata maoni mengi kuliko wewe uliyeandika. Kitaaalam hii asliyetoa maoni kwenye uzi wako yeye ana maoni mazuri kuliko wewe [emoji1787][emoji1787] Jitahidi. Click to expand... Inategemea na uzi na uandishi
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 13,542 Reaction score 17,002 Mar 20, 2022 #6 Umelewa nin!?