jangala JF-Expert Member Joined Feb 17, 2014 Posts 1,583 Reaction score 2,385 Oct 5, 2016 #1 Ukubali ukatae... Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE…. Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea…. Sipendagi ujinga mimi....
Ukubali ukatae... Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE…. Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea…. Sipendagi ujinga mimi....
RingaRinga JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 1,052 Reaction score 529 Oct 6, 2016 #2 Akikugeuka na makwenzi uje hapa kutuambia pia
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,544 Reaction score 30,100 Oct 6, 2016 #3 Hao ni madingi wa miaka ya 70s'... Hawa wa dot com wanashindana na watoto wao ku-upload picha Instagram na FB
Hao ni madingi wa miaka ya 70s'... Hawa wa dot com wanashindana na watoto wao ku-upload picha Instagram na FB