shabalanks
Member
- Sep 12, 2016
- 30
- 6
- Thread starter
-
- #21
Kwa nn mkuuu?asikushauri mtu ukaenda icho chuo.
KIna ubaya gani?! mpe maelezo kamili.asikushauri mtu ukaenda icho chuo.
haaaah kumbe kahamishwa alinigonga stiki siku moja nikatamani kusepa alikuwa na mzee gadafi kwenye kwata alikuwepo fadhili na edo hao watu sumu babu kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda kusema wakati wa kwata chanua kijiji akikukuta humepiga kk anakugonga stiki ccp noumaaaahAnapiga stiki yule, juzi hapa amevuliwa u-coplo
Na amehamishwa
haaaah kumbe kahamishwa alinigonga stiki siku moja nikatamani kusepa alikuwa na mzee gadafi kwenye kwata alikuwepo fadhili na edo hao watu sumu babu kuna jamaa mmoja alikuwa anapenda kusema wakati wa kwata chanua kijiji akikukuta humepiga kk anakugonga stiki ccp noumaaaah
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Zipo kama kawaidaMkuu hizo bia za buku jero mpaka leo zipo
gadafi mzee wa kupeleka watu kibra una kutana na mzee mtigadi
Gadafi amenipiga tifu sana aisee
Bado, naona huu utaratibu bado haujanza rasmiMabwalo yote serekali siimerudisha vat
Mkuu em nipe mrejesho kuhusiana na Karo zao wanalipa veep maana c watoto wa wakulima tushazoea mambo yakulipa kidogo kidgoNakupa historia kidogo ya hicho chuo: kilianza mwaka 1963 kikiitwa Chuo cha Ushirika Moshi. Mwaka 2004 Kiliitwa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCoBS) ambapo kilikuwa chini ya SUA na mwaka 2014 Septemba kimekuwa Chuo Kikuu Kamili kinaitwa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi au kwa lugha ya wenzetu Moshi Co-operative University (MoCU).
Ni chuo cha Serikali. Karibu sana, kiko karibu na Chuo cha Polisi Moshi, Moshi Sec. pia kiko barabara ya Sokoine ambayo inakwenda hadi Hospitali ya Rufaa ya KCMC. Utamkuta Makamu Mkuu wa Chuo (VC), Prof. Faustine Bee.
Nirudi kwenye mada yako, Sijajua kwanini umetaka tu msichana aliyechaguliwa huko ndio muwasiliane😉
kwa kozi ipi? maana hapa nina fee structure ya kozi zoteMkuu em nipe mrejesho kuhusiana na Karo zao wanalipa veep maana c watoto wa wakulima tushazoea mambo yakulipa kidogo kidgo
BAAFkwa kozi ipi? maana hapa nina fee structure ya kozi zote
mwaka wa kwanza hadi wa tatu kila mwaka tuition fee ni 1,100,000 kwa hiyo zidisha mara miaka mitatu. halafu kuna gharama za matibabu, uchakavu, serikali yenu ya wanafunzi, TCU na kitambulisho vyote kwa jumla mwaka wa kwanza ni 180,000/= mwaka wa pili ni 150,000/= na mwaka wa tatu ni 150,000/=. Mengine mfano ukitaka kuishi kwenye hostel zao kwa mwaka ni 400,000/=. Chakula, vitabu, mavazi na research na mengineyo kama soda, juice utajitegemea mwenyeweBAAF
Huo ushenzi uko karibia vyuo vyote vya serikali sio MoCU tukila mwalimu anatafuta sifa kwenye somo lake ata somo la kupata A mwalimu anataka akushike.