shabalanks
Member
- Sep 12, 2016
- 30
- 6
Yap ushirkaUshirika
Sasa wewe unafuata chuo elimu au unafuata wanawake?Yap ushirka
Nakupa historia kidogo ya hicho chuo: kilianza mwaka 1963 kikiitwa Chuo cha Ushirika Moshi. Mwaka 2004 Kiliitwa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara Moshi (MUCCoBS) ambapo kilikuwa chini ya SUA na mwaka 2014 Septemba kimekuwa Chuo Kikuu Kamili kinaitwa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi au kwa lugha ya wenzetu Moshi Co-operative University (MoCU).
Ni chuo cha Serikali. Karibu sana, kiko karibu na Chuo cha Polisi Moshi, Moshi Sec. pia kiko barabara ya Sokoine ambayo inakwenda hadi Hospitali ya Rufaa ya KCMC. Utamkuta Makamu Mkuu wa Chuo (VC), Prof. Faustine Bee.
Nirudi kwenye mada yako, Sijajua kwanini umetaka tu msichana aliyechaguliwa huko ndio muwasiliane😉
hahahahaha. na sie tulikuwa tunakwenda kunywa bia Officers Mess hapo CCP hahahahaTulikuwa tunapita tunakimbia mchaka mchaka enzi tupo ccp
hahahahaha. na sie tulikuwa tunakwenda kunywa bia Officers Mess hapo CCP hahahaha
Mtaani bia zikiwa 2500hahahahaha. na sie tulikuwa tunakwenda kunywa bia Officers Mess hapo CCP hahahaha
hahahahaha. na sie tulikuwa tunakwenda kunywa bia Officers Mess hapo CCP hahahaha
lile la maofisa nadhani ni moja japo sikumbuki ila nakumbuka lilikuwa na maofisaBwalo no 2 au moja 1
hahahaha itakuwa bwaro no 2 kule chini daaah bwaro no 3 nilikuwa naenda kuangalia taarifa ya habari enzi za ukurutaaah na kununua soda kidogo pia ndoo maeneo yangu ya kusimamishia mnazi wangu karibu na mabweni ya wpBwalo no 2 au moja 1
Ni no 1lile la maofisa nadhani ni moja japo sikumbuki ila nakumbuka lilikuwa na maofisa
alaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. AhsanteNi no 1
Pale kuna mabwalo 3
Anapiga stiki yule, juzi hapa amevuliwa u-coplounamkumbuka machumu boy