Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
WanaJf kwa waliobahatika kuangalia hotuba ya Mubarak live saa sita usiku jamaa hataki kuondoka hadi september na akadai hatagombea tena na akalaani maandamano na kukumbushia kuwa kawafanyia wanamisri mambo mengi mazuri.Je hii ni janja tu ya kuendelea kubaki licha ya kuliomba bunge kuweka kipengele cha muda maalumu wa raisi kutawala.je hakujua hilo tangu mwanzo???