Muandishi anapokosa i Bashashsa

hahaha dah.huyu muandishi alitaka kumla huyu mama nini.
 
Mwandishi kakosaje bahasha hapa
Sana sana naona ka concentrate na ana sura ya kazi
Usichanganye madawa mkuu
bashasha-uchangamfu
bahasha -rushwa

hiyo sura uliyoiita ya kazi mtaani wanaita 'uso wa mbuzi'.
 
wakuu muki i zoom kwa huyo mwandishi utaona tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…