Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 6,121
- 6,062
MUACHENI NTOBI AWE NTOBI! 🤣
View: https://x.com/Ntobi_/status/1874401704751296703
Sisi wasukuma, hasahasa wale wanaotoka viunga vya himaya ya Mkuu Ntobi, ni watu tunaopendelea sana utani na ukituvagaa ukidhani umepata tani kubwa sana la kututania, kwamba tutachekwa sana, BASI JIANDAE, maana tani letu linalofuata litakufanya uhame Kijiji!
Nilifungua Tweet hiyo hapo juu aliyoposti Ntobi na nikakutana na comments za wadau wengine wakilalamika na kulialia eti ntobi kawafananisha na mbwa, mara wengine wakimtishia Ntobi eti ajiandae Lissu akishinda, mara wengine wanafoka ati "NTOBI WE JINGA SANA!" nk!
Sisi kwetu, ukianzisha utani, kukuita 'SHIDEVE'(MBWEHA) ni kwa kufikia tu!
Acheni Majembe yajinoe
Ukilumba jiandae kulumbwa
C.c: Erythrocyte