Chakuchambuka
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 342
- 63
Hizo ni ndoto za alnacha
Waacheni wananchi wachome "vibanda" mji utakuja kuwa hivi!
Du!!!! Ila mtoa mada una akili sana lakini kama mji ukiwa hivi kweli sisi walala hoi tutaweza kulipa kodi ya kupanga nyumba ama ka-ofisi kweli....Maana Mtwara palivyo tu kwa sasa kodi ni issue je ikiwa hivi?
Naanza kuamini penye maendeleo ndo shida zinazidi!!!!!!!
Hapana.....ughali wa Mtwara kwa sasa ni suala la muda mfupi kwa kuwa kuna shortage ya kila kitu....resources za nchi zikitumika vizuri na uchumi ukiimarika ugumu wa maisha nao hutoweka.....tatizo watawala wetu aidha hili hawalijuia au hawataki liwe.....a vibrant economy produces a vibrant society.......CCM haitaki a vibrant society!
Kwa hilo hata aje nani hali itakuwa ni ileile tu. Hicho kijichama kinachoongoza kwa maandamano nchini nacho ndo walewale tu. Watu wanaotokea eneo lile ni hatari sana kwa ubinafsi. Kuna kataasisi kamoja ka serikali wamejazana wao tu na ukiajiriwa wewe wa kutoka kanda nyingine utatamani kuacha kazi mwezi huohuo., Jamaa ni wezi, wavivu wapiga maneno na wanachokitamka sicho kilicho moyoni. Bora hata CCM ina balance equality.
MWAKA 2017 NITAGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM NA NITASHINDA!!!! NI CHAMA KISICHOBADILIKABADILIKA WALA KIVULI CHA KUGEUKAGEUKA. KIMEKAA NA SERA IMARA… .......
Signature yako mmmmh!
Ndo mwka wa uchaguzi ati......Hatutafanya uchaguzi mwaka 2015 kwa kuwa gharama zitakuwa hazijatimia kwa sababu ya katiba mpya. Wasilalamikie hilo maana watu walilazimisha katiba mpya bila kujua ina gharama kubwa........Upo?
Hilo la muda sina shaka nalo......tatizo ni ugombea wako kwa turufu ya mgombea binafsi....au ndio umeshachungulia katiba iliyoko kabatini tayari?
Kwani signature yangu umeielewaje? Hebu isome tena!!!!
a city without character? Who wants to live in disneyland?waacheni wananchi wachome "vibanda" mji utakuja kuwa hivi!
Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaa....Nyerere atafufuka!