Tuzo lazima abebe hapo dai siyo mtu wa mchezo mchezo bhanaJamani mambo yakibaki hivo hivo sioni kama kijana wetu domo atabeba tuzo hapo
Ebu tusubiri category ingne
Ndugu angalia anao shindana nao hapo!!Tuzo lazima abebe hapo dai siyo mtu wa mchezo mchezo bhana
we unahisi nani atakayefurukuta kwa dai hapo?Ndugu angalia anao shindana nao hapo!!
Labda kolabo bora apewe na AKAwe unahisi nani atakayefurukuta kwa dai hapo?
Mchawi mkubwa wa dai alikuwa davido , sasa davido hayupo we unategemea nini?
we mtake radhi dai, black coffee ndio wa kumkimbiza dai? hauwezi ukawa seriousKahawa nyeusi ndo inaweza kumkosesha dai ila kwenye best collabo na aka anaweza chukua
Mkuu kwani kwenye BET si ndo ali mkimbiza huyo!!we mtake radhi dai, black coffee ndio wa kumkimbiza dai? hauwezi ukawa serious
Alibahatisha pale alaf bahati haijagi mara 2Mkuu kwani kwenye BET si ndo ali mkimbiza huyo!!
nilishangaa sana alivyopewa siku IleMkuu kwani kwenye BET si ndo ali mkimbiza huyo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alibahatisha pale alaf bahati haijagi mara 2
Kibakuli hapawezi huku sio saizi yake[emoj i23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa bhana
Namuombea Ali awekwe hata msanii chipukizi tuu