MTV Base Africa watoa list ya Wasanii wa kuangaliwa sana mwaka huu, WCB waongoza

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
MTVBASEAFRICA:Watoa list ya wasanii wakuangaliwa sana mwaka huu 2017,Huku Tanzania ikiingiza wasanii watano na wakiweno wa Wcb_wasafi wawili,
Rayvany na Harmonize_tz.
Watanzania kama ifuatavyo:
1.Ben Pol
2.Billnass
3.Rayvany
4.Harmonize_tz
5/Ruby
8b3214fb51da8929aeaef6d72acf127e.jpg
 
Ruby na Harmonize wapo kimya kitambo.. Sijui wameangalia vigezo gani
 
Kwahiyo huko Ben Pol wanamchukulia kama underground? Kama ndo hivyo mbona Alikiba hawajamuweka?
 
Darasa kwanini hajaifanyia kitu cha tofauti ile MUZIKI kama alivyofanya diamond kwenye my number one!
Ingesimama sana
 
MTVBASEAFRICA:Watoa list ya wasanii wakuangaliwa sana mwaka huu 2017,Huku Tanzania ikiingiza wasanii watano na wakiweno wa Wcb_wasafi wawili,
Rayvany na Harmonize_tz.
Watanzania kama ifuatavyo:
1.Ben Pol
2.Billnass
3.Rayvany
4.Harmonize_tz
5/Ruby
8b3214fb51da8929aeaef6d72acf127e.jpg
Hatuko interested na wauza unga na wabwia unga!
 
watu kama alikiba, darassa na wengineo nafikiri wanakosa management, mziki hauvuki ng'ambo kivileeee
Usimuweke Ali Kiba ligi moja na Darassa.

last Year kabeba 10+ international award utasemaje muziki wake hauvuki border?!
 
Back
Top Bottom