Mtungi wa gas oryx

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,896
Reaction score
1,214
Haya sasa anaeuza mtungi wa gas mkubwa aje na dau lake hapa, nipo kigambon.
 
Mi natafuta wa kumuuzia wa manji's
 
Nenda kwa wanachuo wanamaliza sahivi vitu bei cheeee.
 
Haya sasa anaeuza mtungi wa gas mkubwa aje na dau lake hapa, nipo kigambon.
mimi ninao mkubwa nauza , pamoja na jiko lake kama utataka , nipo banana ,, kwa maelezo zaidi waweza kuni pm
 
Aliye hapa Mwanza na anauza mtungi plz
 
mimi ninao mkubwa nauza , pamoja na jiko lake kama utataka , nipo banana ,, kwa maelezo zaidi waweza kuni pm

Mkuu nipo kigambon mie...hyo route yake sasasss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…