Mtulia atikisa Kata ya Kijitonyama

Mtulia atikisa Kata ya Kijitonyama

wandamba

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
510
Reaction score
839
*YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE (CCM) KINONDONI NDG. MTULIA KATA YA KIJITONYAMA TAR. 09FEB*

"Ninapozungumza shida na matatizo ya wana Kinondoni siigizi kwa sababu ni mwenzenu nayajua" - Mtulia

"Kiongozi mzuri ni yule anayezijua na kuguswa na shida za Watu wake, mimi ni mfano wa kiongozi huyo" - Mtulia

"Nilivunja kibubu na kwenda Mahakamani kuzuia bomoabomoa, nikashinda na bomoabomoa ikazuiwa. Hii ilisaidia kuzuia bomoabomoa si tu Kinondoni bali nchi nzima." - Mtulia

"Mrudishe Mtulia akajenge barabara, nipeni kura nikasimamie ufanisi wake" - Mtulia

"Matatizo ya Mto wa Ng'ombe yanaenda kuwa historia kutokana na Mto kwenda kujengwa upya na hatutakuwa na shida ya mafuriko na maji kujaa majumbani tena. Pesa zipo tayari, nipeni kura nikasimamie" - Mtulia

"Kiongozi wa upinzani hawezi kuleta maendeleo kutokana na kutokuwa na mahusiano mema na Serikali" - Mtulia

"Nikishinda nitahakikisha suala la Bodaboda kugeuzwa gari la mshahara. Nitasimamia na kuzuia manyanyaso yao." - Mtulia

"Nikishinda naenda kusimamia Manispaa itoe mikopo nafuu kwa Vijana na akina Mama waweze kujiajili" - Mtulia

"Nitaenda kuhakikisha vituo vya bodaboda vinatambuliwa kwa kupewa namba maalum ya utambulisho." - Mtulia

"Nimeamua kubadilisha gari ili kuhakikisha nawafikisha salama na mapema kwenye maendeleo wana Kinondoni" - Mtulia

"Nawaombeni sana Februari 17 mkanipigie kura nyingi za ndio ili niweze kushinda na kuwaletea maendeleo ya kweli. Chagua Mtulia, Chagua CCM, Chagua Maendeleo" - Mtulia
IMG-20180209-WA0247.jpg
IMG-20180209-WA0252.jpg
IMG-20180209-WA0233.jpg
IMG-20180209-WA0235.jpg
IMG-20180209-WA0249.jpg
 
Hivi alikuwa anahutubia mkutano wa chama au wananchi? Anaefahamu atoe ufafanuzi kwa msaada wa Picha.
 
Kwanini hizi ahadi asingetekeleza 2015-17 yaani ameshiindwa kuzitekeleza kwa miaka 2 ya kwanza ila ataweza ndani ya miaka 2 iliyobaki??? Kinondoni mkimrudisha huyu mtulia basi naweza kusema itachukua miaka mingine 100 kwa watanzania kufikia maendeleo ya kweli
 
*YALIYOSEMWA NA MGOMBEA UBUNGE (CCM) KINONDONI NDG. MTULIA KATA YA KIJITONYAMA TAR. 09FEB*

"Ninapozungumza shida na matatizo ya wana Kinondoni siigizi kwa sababu ni mwenzenu nayajua" - Mtulia

"Kiongozi mzuri ni yule anayezijua na kuguswa na shida za Watu wake, mimi ni mfano wa kiongozi huyo" - Mtulia

"Nilivunja kibubu na kwenda Mahakamani kuzuia bomoabomoa, nikashinda na bomoabomoa ikazuiwa. Hii ilisaidia kuzuia bomoabomoa si tu Kinondoni bali nchi nzima." - Mtulia

"Mrudishe Mtulia akajenge barabara, nipeni kura nikasimamie ufanisi wake" - Mtulia

"Matatizo ya Mto wa Ng'ombe yanaenda kuwa historia kutokana na Mto kwenda kujengwa upya na hatutakuwa na shida ya mafuriko na maji kujaa majumbani tena. Pesa zipo tayari, nipeni kura nikasimamie" - Mtulia

"Kiongozi wa upinzani hawezi kuleta maendeleo kutokana na kutokuwa na mahusiano mema na Serikali" - Mtulia

"Nikishinda nitahakikisha suala la Bodaboda kugeuzwa gari la mshahara. Nitasimamia na kuzuia manyanyaso yao." - Mtulia

"Nikishinda naenda kusimamia Manispaa itoe mikopo nafuu kwa Vijana na akina Mama waweze kujiajili" - Mtulia

"Nitaenda kuhakikisha vituo vya bodaboda vinatambuliwa kwa kupewa namba maalum ya utambulisho." - Mtulia

"Nimeamua kubadilisha gari ili kuhakikisha nawafikisha salama na mapema kwenye maendeleo wana Kinondoni" - Mtulia

"Nawaombeni sana Februari 17 mkanipigie kura nyingi za ndio ili niweze kushinda na kuwaletea maendeleo ya kweli. Chagua Mtulia, Chagua CCM, Chagua Maendeleo" - MtuliaView attachment 693191View attachment 693192View attachment 693193View attachment 693194View attachment 693195
Kwa jiografia ya Dar hao wote unaweza kuta wamesafiri kutoka maeneo mbalimbali ya jijiji ikiwemo na mkoa wa Pwani
 
Wanakinondoni mtakuwa wapumbavu,malofa,vichaa,mabogasi ,matahira ,vichwa maji vilaza mkimpigia kura huyu mtulia na kumrudisha bungeni
 
Tatizo la mikutano ya ccm,utadhani hao watu wote wanaishi nyumba moja....!!
 
Huyu jamaa akipata tena ubunge kwa uhalali kabisa, basi hitimisho langu ni kuwa waafrika kweli ni shithole na hakuna maendeleo Afrika mpaka kiama!!
 
Wawananchi hiondio ccm yawatu hata uiponde ccm oeeeeee vyamavg ziiiiiii
 
Back
Top Bottom