KAPOSI SARCOMA
Member
- Jan 13, 2018
- 38
- 50
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Haya mama Jesca ....
Wanafiki hao.hawajielewi
Wanafiki hao.hawajielewi
Hayo maoni yako si mabaya lakini vile vile ujifunze kuangalia maoni ya wengine, raisi Magufuli ni msimamizi mzuri wa serikali sijui ndani ya chama chake, lakini lazima akubali yeye si mwanasiasa mzuri hivyo muda wake ukimalizika CCM kama walivyomleta Magufuli basi watuletee kiongozi mwenye kuwa na ujuzi wa mambo ya siasa pia. Kwani kutowaruhusu vyama vya upinzani kufanya siasa ni udhaifu wa kukomaa kisiasa. Inatosha utendaji wake wa kazi kuwa ni turufu ya kushinda mioyo na akili za wantanzania wengi, ilikuwa haina haja ya kuzuia vyama vya upinzani kunyimwa kufanya siasa. Hayo ni maoni yangu tu.Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
Umetumwa kupima upepo?Kwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
PumbavuKwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
swissmeKwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.
Ninashauri vyombo husika kama bunge nk waanze kuchukua hatua ili kumfanya mzee atawale tu.sasa mkisema katiba inavunjwa potelea mbali lkn binafsi sijaona wa kuachiwa nchi.baadhi ya vifungu vibadilishwe ili mzee apate nguvu.we love you mr magu,we love tanzania.tawala baba.
Mchukue kabisa awe Mungu waki kila siku umpigie goti. Na aiongoze na nyumba yako.Ningekua mimi ndo magu ningekua hata dikteta ili nisiiache tz irudi ilikotoka
Tunaheshimu mawazo yako japo ni ya kijingaKwa maoni yangu mi naona Tanzania tumepata jembe,buldozer mtifuaji.Hakuna kama baba magufuli.Hii nchi ilikua inapotea sana na kwa muda mrefu alihitajika mtu kama magu kuikomboa hii nchi.sasa watanzania wehu na wasio na akili wanaanza kumkosoa na kumbeza.Nawaambieni mtakuja kumkumbuka magu.huyu ndie baba wa watanzania wa duniani.shauri yenu msiojua thamani ya hili jembe.