Genghis Khans
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 502
- 462
JPM ametuletea Mahakama ya Mafisadi. Na nchi yetu imejaliwa kuwa nao wengi sana.
Mngependa nani abikiri hii mahakama na kuwa mtu wa kwanza kupandishwa kwenye hii mahakama?
Mngependa nani abikiri hii mahakama na kuwa mtu wa kwanza kupandishwa kwenye hii mahakama?