acha kudanganya!umeshaambiwa kuna first na second batch,first walishachaguliwa muda mrefu,second ndio wamechaguliwa wiki hii,ni vitu viwili tofauti vitatoka pamoja lakini vinatenganishwa ili ionekane second batch ni vijana waliokosa umakini katika selection.