umeelewa swali?Alitokea kwenye ukoo wa Farao huko misri na wengine ukoo wa kaini!
Si mtu wa kwanza kwenye ukoo wowote!umeelewa swali?
Rejea isiwe bibliaSi mtu wa kwanza kwenye ukoo wowote!
Kwani farao ni biblia tuu mwanasimba!Rejea isiwe biblia
Umeona yesu tu ndio wakumtolea mfano?Watakuja hapa oooh bwana yesu blablah mara mtume swalalee, usipo waelewa watakupiga mkwara na vifungu vya vitabu vya dini.
Kwani ni dhambi?Umeona yesu tu ndio wakumtolea mfano?
... kaka mkubwa; hili swali lako ulitakiwa umuulize mwalimu wako wa historia form 2 kwenye topic ya clan formation. Sasa kama siku hiyo somo linafundishwa ulikuwa unaangua zambarau, unatupa majukumu tusiyostahili humu.Wakuu salaam,
Naomba kuuliza, je mtu wa kwanza kwenye ukoo alitokea wapi? Naomba rejea isiwe Kuran au Biblia. Nauliza maana nimeona koo nyingi idadi yao inaongezeka.
Asanteni
Swali zuri sana.
Hoja ya sote ni ndugu itaingia humo
Ndugai sio ndugu bhanaSwali zuri sana.
Hoja ya sote ni ndugu itaingia humo