Hajatua leo bado yuko hewani ukohapa naona kaulizwa mtu mzito ngoja tusubiri majibu yake
HahahaaaHajatua leo bado yuko hewani uko
Hayajakukutawaganga wa kienyeji mpaka karne hii mmmm
Jibu ni kuwa nyota yako ni chafu.Mtafute msafisha nyota akusaidie?Mtu mzito , Mshana Jr na wengine ,Niko na swali
Ukienda kwa wanganga,ukapata majibu mawili tofauti 1. umerogwa 2.una majini, asilimia ya majibu yao pia iko tofauti, umerogwa 75%
una majini 25%
yupi au wapi ni sahihi kwa majibu.
Lipi ni lipi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa maelezo yako ni dhahiri kuwa umetupiwa Jini latifa.Hili jini limekuwa linakuletea ufukara, mateso, hata ukipata pesa matumizi yake yanakuwa ni hovyo.