Document inpokua na format ya pdf inakua haiwezekani kufanya editing .
katika mfumo huu ila inawezekana Kama utachange hiyo document kutoka PDF kwenda word
Option ni ku-copy hiyo document na kuingia Google then uka search PDF to word convertor then ukabadilisha hiyo kazi kwenda word baada ya hapo unaendelea na ku edit kawaida