OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,574 Aug 7, 2015 #2 Nimeona sehemu moja, huyo mtu, . . . . . . . .sasa hata kusema ulipoona na huyo anayetukana unashindwa? ?!!! "Name and shame". . . . . .haya hapa hujqmtaja je ulimuambia kuwa tabia yake sio nzuri??!!
Nimeona sehemu moja, huyo mtu, . . . . . . . .sasa hata kusema ulipoona na huyo anayetukana unashindwa? ?!!! "Name and shame". . . . . .haya hapa hujqmtaja je ulimuambia kuwa tabia yake sio nzuri??!!
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,734 Reaction score 9,916 Aug 7, 2015 #3 Subiri uchaguzi uishe watu watapunguza matusi,lakini saahizi watu wamevurugwa na wanasiasa wanafyatua lolote linalokuja.
Subiri uchaguzi uishe watu watapunguza matusi,lakini saahizi watu wamevurugwa na wanasiasa wanafyatua lolote linalokuja.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Aug 7, 2015 #4 Matusi kwenye mitandao ya kijamii (sio jf tu) inekua kama ni jadi... Maadili hakuna kabisa siku hizi
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,704 Reaction score 48,140 Aug 7, 2015 #5 Haya basi
stwita JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,340 Reaction score 761 Aug 7, 2015 #6 Ukiona mtu katukana report abuse apigwe ban