mtu kupata kichefuchefu hasa kila baada ya mlo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtu kupata kichefuchefu hasa kila baada ya mlo

Discussion in 'JF Doctor' started by zaka, Mar 23, 2012.

 1. z

  zaka Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu wana jamvi naomba msaada ninajisikia hali ya kutapika kila baada ya kula, tatizo nini hasa?
   
 2. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  we mwanamke au mwanaume?
   
 3. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kama wewe ni wakiume mkuu itakuwa ni minyoo,nilikiwa na tatizo kama lako wiki mbili zilizopita but baada ya kutumia dawa ya minyoo hali imekuwa shwari,kama ni wakike kacheki mimba mkuu...
   
Loading...