mtu huchagua asichokuwa nacho

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Mwlimu alimuita mwanafuzi akamuuliza "pesa na akili unachagua nni?"mwanafunzi akajibu*"pesa" Mwlimu akacheka sana "ha! ha! ha! kama ni mimi ningechagua kuwa na akili!"mwanafunzi naye akajibu nikweli mtu huchagua asichokua nacho*:lol:
 
Hahahahaha....ticha hana akili ndo maana kachagua asichokuwa nacho,hihihihi...nimeipenda mkuu.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !
 
Hapo umwambie sasa mwalimu mnoko uone moto wake, utakula mbata mpaka masaburi yakukae sawa
 
kuanzia hapo mtoto hata kama akiitwa asipoitika ndio mwalimu atapigwa vibaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…