Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 119,438
- 222,640
Steve Nyerere ametajwa kuwa msemaji wa shirikisho la Muziki Tanzania , Haifahamiki aliyemteua kwenye cheo hicho ni nani , wala malengo ya kufanya hivyo , Bali ni dhahiri kwamba , Mteuliwa hajawahi kuonekana akiimba hata kwaya au kaswida popote nchini Tanzania , hajawahi kuonekana hata akiimba Wimbo wa Taifa lake , huyu anafahamika kama mchekeshaji wa KIWANGO CHA CHINI kabisa ambacho hakiwezi kuchekesha hata mtu mwenye mtindio wa ubongo .
Taarifa zinaonyesha kwamba karibu wanamuziki wote WANAPINGA UTEUZI WAKE , lakini yeye bila mshipa wa aibu anakataa kujiuzulu .
Hivi inawezekanaje kuteua mtu wa aina hii kuongoza Muziki ?
Moderator mlifuta uzi wangu kuhusu huyu mtu , Je hamtaki tujadili uozo huu ?
Si wampe Ukuu wa Wilaya ikiwa wanataka hivyo , mbona rahisi tu !Connection mtu wangu!View attachment 2158621
Sasa hiyo inahusana nini na muziki ?Atakuwa mjumbe kwenye ile kamati ya mama sema na mwanao. Hapo fadhila fadhilini hapo.
Sasa hiyo inahusana nini na muziki ?
Sasa hata kama ni chawa si wampe cheo awe msemaji wa serikali basi !Ndiyo Tanzania ya CCM hiyo sasa. Alipo huyo ni chawa!
Wanafata ngazi kwa ngaziSi wampe Ukuu wa Wilaya ikiwa wanataka hivyo , mbona rahisi tu !
Mchongo umegeuka mchongoma sasaMchongo mwanetu mjini hapa changamka
kwani hilo ndio lengo lake ?ndo keshapita sasa,. aanze kuwakula bademu wenu
DuhKuimba kwaya ni taaluma kubwa ya kuhubiri, ikijumuisha utunzi, usomaji na uandishi note,upigaji wa vyombo mbalimbali vya muziki na mambo mengine mengi.
Si sahihi kabisa kuidunisha taaluma hiyo kwa kufananisha na hiyo bongo Flava.
Ungekosoa uteuzi wa msemaji wenu kwa kulinganisha na kitu kingine.
Kwan msemaji kazi yake ni nini hasa kwenye taasisi?!Steve Nyerere ametajwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania, haifahamiki aliyemteua kwenye cheo hicho ni nani, vigezo vilivyotumika kwenye uteuzi huo haramu havijulikani, wala malengo ya kufanya hivyo, bali ni dhahiri kwamba mteuliwa hajawahi kuonekana akiimba hata kwaya au kaswida popote nchini Tanzania, hajawahi kuonekana hata akiimba Wimbo wa Taifa lake, huyu anafahamika kama mchekeshaji wa KIWANGO CHA CHINI kabisa ambacho hakiwezi kuchekesha hata mtu mwenye mtindio wa ubongo.
Taarifa zinaonyesha kwamba karibu wanamuziki wote WANAPINGA UTEUZI WAKE, lakini yeye bila mshipa wa aibu anakataa kujiuzulu.
Hivi inawezekanaje kuteua mtu wa aina hii kuongoza muziki?
Noma sanaWaliofanya hivyo inaonyesha jinsi ambavyo hawako serious.Yaani taifa limeishiwa hadi watu wa ajabu ajabu wanapata nafasi kama hizo alafu tunategemea sanaa ipige hatua.