Mtu akifanikiwa inawauma?

Hujaona post ya Leo niliyoitoa nahitaji msaada wakujua viwanja na heka za morogoro ni sh. Ngapi
Kwa hiyo walipo ipita bila kucoment chochote ndiyo umekasirika hivyo?

Wewe ungewajua wana jf walivyo wala usingekomaa kutoa povu kisa post yako wameisusia.

Tulia tutaisoma na tutakupa like za kutosha. Hasira za nini eeeh mamaaa!
 

[emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu
 
Asilimia kubwa ya watu wa jf ni wachoraji yaan wanakuchora then wanakutupa kwenye dustibn so pole sana hila usitegemee sana msaada kutoka kwa mtu usiye mjua aswa kwenye ishu ya maendeleo
 
Ila tangu mtu aseme hii ni account nyingine ya Gentamycine nashindwa kusoma nyuzi zako bila kucheka😂

Sasa kwanini yule mdau alihisi hivi
 
Kuna mwana jf mmoja humu akinienyesha balaa kisa connection nikakopa na pesa kwa watu kila nikipeleka anaikata oh aijaka vizuri naenda tena nakopa natengeneza stage ya mwisho sikumuona tena na simu akawa hapokei now kuamini watu wa jf asilimia 10

Kwaza akiniambia kuna mchongo sishutuki
 
We nae tumekuchoka bana, kila saa michambo ya uswahilini, Lete nyuzi za maana, waganga wa nini,
 
We nae tumekuchoka bana, kila saa michambo ya uswahilini, Lete nyuzi za maana, waganga wa nini,
Ni mtu alikuwa anashida sana Sasa amezoea hao Sasa kwanini msimsaidie mie nipo sijui la mganga au la mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…