Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,504
- 113,618
NAONA umekosa habari za maana utakuja kureport mtu anaiba karanga anakimbizwa na wananchi
is this breaking news?

Tangu lini thamani ya roho ya binadamu imekuwa sawa na karanga?
Pasco, soma hizo sentences mbili kwenye red kwa pamoja. Nadhani unatakiwa ku-edit taarifa kidogo ili ijulikane moja.Wanabodi,
Baada ya kutoka safari, nimetulia bar ya Rombo Green View eneo la Shekilango, nimeshuhudia ajali ya boda boda, mbele ya macho yangu just now, boda boda yenye abiria imemgonga mwenda kwa miguu ambaye amefariki hapo hapo on the spot!.
Watu wamenzunguka dereva wa boda boda hiyo ambaye amejeruhiwa vibaya na kuanza kumshushia kipigo kizito!.
Kutokana na mimi kuwa ni mhanga wa ajali za boda boda nineshindwa hata kusogea karibu kuepuka "stigimata" za yaliyonikuta!.
NB inawezekana aliyegongwa amezimia tuu na kudhaniwa amekufa kwa sababu tuu ni still body atakayethibitisha kifo ni daktari!.
Kiukweli wengine kama mimi hizi boda boda ndio usafiri wetu, tunazitumia tuu kutokana na hali lakini ni usafiri wa hatari sana!.
In case of life, I wish they all get well soon, otherwise RIP aliyegongwa na boda boda!.
Pasco!.
hajaiba karangaNAONA umekosa habari za maana utakuja kureport mtu anaiba karanga anakimbizwa na wananchi
is this breaking news?
Wanabodi,