Mtu Agongwa na Boda Bada na Kufariki On The Spot Mbele ya Rombo GV Just Now!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,337
113,178
Wanabodi,
Baada ya kutoka safari, nimetulia bar ya Rombo Green View eneo la Shekilango, nimeshuhudia ajali ya boda boda, mbele ya macho yangu just now, boda boda yenye abiria imemgonga mwenda kwa miguu ambaye amefariki hapo hapo on the spot!.

Watu wamenzunguka dereva wa boda boda hiyo ambaye amejeruhiwa vibaya na kuanza kumshushia kipigo kizito!.

Kutokana na mimi kuwa ni mhanga wa ajali za boda boda nineshindwa hata kusogea karibu kuepuka "stigimata" za yaliyonikuta!.

NB inawezekana aliyegongwa amezimia tuu na kudhaniwa amekufa kwa sababu tuu ni still body atakayethibitisha kifo ni daktari!.

Kiukweli wengine kama mimi hizi boda boda ndio usafiri wetu, tunazitumia tuu kutokana na hali lakini ni usafiri wa hatari sana!.

In case of life, I wish they all get well soon, otherwise RIP aliyegongwa na boda boda!.

Pasco!.
 
NAONA umekosa habari za maana utakuja kureport mtu anaiba karanga anakimbizwa na wananchi

is this breaking news?
 
Hopefully mtembea kwa miguu hajafa na amezimia tu..., ila ndio ukweli hizi ajali ni nyingi sitashangaa kama stats zinaonyesha kila siku tunawapoteza watu kwa ajili ya hili janga la usafiri
 
NAONA umekosa habari za maana utakuja kureport mtu anaiba karanga anakimbizwa na wananchi

is this breaking news?

Si lazima ufungue habari na kuisoma,
Kama wewe unaetumia "mkoko wa kuazima" kwako utaiona si ya maana, sisi tunaetumia usafiri huo tunaiona stori hiyo ya maana sana!!! Nyie ndio akina "Mapapa" mnaotafutwa!!
SO,PIGA KIMYA WEWE.
Asante Pasko kwa kutujuza.
 
NAONA umekosa habari za maana utakuja kureport mtu anaiba karanga anakimbizwa na wananchi

is this breaking news?

Tangu lini thamani ya roho ya binadamu imekuwa sawa na karanga?
 
Hao akina "J*y'Funguo" ndo wale wanaotanulia mjini na magari ya mademu zao.
Kuwa na adabu na mada ya mtu,kama hujisikii kuunga uzi,acha kiromoromo. Usikute aliyegongwa ni K*mada mliepanga mkutane Rombo GV je?
 
Wanabodi,
Baada ya kutoka safari, nimetulia bar ya Rombo Green View eneo la Shekilango, nimeshuhudia ajali ya boda boda, mbele ya macho yangu just now, boda boda yenye abiria imemgonga mwenda kwa miguu ambaye amefariki hapo hapo on the spot!.

Watu wamenzunguka dereva wa boda boda hiyo ambaye amejeruhiwa vibaya na kuanza kumshushia kipigo kizito!.

Kutokana na mimi kuwa ni mhanga wa ajali za boda boda nineshindwa hata kusogea karibu kuepuka "stigimata" za yaliyonikuta!.

NB inawezekana aliyegongwa amezimia tuu na kudhaniwa amekufa kwa sababu tuu ni still body atakayethibitisha kifo ni daktari!.

Kiukweli wengine kama mimi hizi boda boda ndio usafiri wetu, tunazitumia tuu kutokana na hali lakini ni usafiri wa hatari sana!.

In case of life, I wish they all get well soon, otherwise RIP aliyegongwa na boda boda!.

Pasco!.
Pasco, soma hizo sentences mbili kwenye red kwa pamoja. Nadhani unatakiwa ku-edit taarifa kidogo ili ijulikane moja.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mie hizi Boda boda kwa kweli ni basi tu. MUNGU awanusuru majeruhi (Nachelea kutoa RIP as haijathibitika bado)
 
NAONA umekosa habari za maana utakuja kureport mtu anaiba karanga anakimbizwa na wananchi

is this breaking news?
hajaiba karanga

habari ina ujumbe zaidi ya ujumbe unless wewe ni benecifiaries wa mfumo fisadi

kubbbaaf
 
da inanikumbusha meno yangu...nimepoteza meno matano kwa ajali ya bodaboda....get well soon or R.I.P mtembea kwa miguu.
 
Mkuu Pasco mbona umekimbia Dodoma wakati leo ndio ngoma inogile?
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,
Baada ya kutoka safari, nimetulia bar ya Rombo Green View eneo la Shekilango, nimeshuhudia ajali ya boda boda, mbele ya macho yangu just now, boda boda yenye abiria imemgonga mwenda kwa miguu ambaye amefariki hapo hapo on the spot!.

Watu wamenzunguka dereva wa boda boda hiyo ambaye amejeruhiwa vibaya na kuanza kumshushia kipigo kizito!.

Kutokana na mimi kuwa ni mhanga wa ajali za boda boda nineshindwa hata kusogea karibu kuepuka "stigimata" za yaliyonikuta!.

NB inawezekana aliyegongwa amezimia tuu na kudhaniwa amekufa kwa sababu tuu ni still body atakayethibitisha kifo ni daktari!.

Kiukweli wengine kama mimi hizi boda boda ndio usafiri wetu, tunazitumia tuu kutokana na hali lakini ni usafiri wa hatari sana!.

In case of life, I wish they all get well soon, otherwise RIP aliyegongwa na boda boda!.

Pasco!.

Nikajua upo mbeya na boss Pasco
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Nawashangaa wanaoona hii sio breaking news. Mbona huwa tunaletewa humu breaking news za ajali na/au vifo na tunazipokeaga bila query? Leo m-bodaboda kagonga mtembea kwa miguu, watu wanaiponda taarifa. Au kwa vile haijawahusisha macelebrity? Jamani sisi huku uswazi sote tuna thamani sawa. Asante Pasco kwa taarifa. Get well soon/Rip mtembea kwa miguu.
 
BodaBoda kama ningeweza, pamoja na pikipiki ningezipiga marufuku.Zinaleta balaa tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom