Mtoto Wilison

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ukiona mtu anamalizia kwa matusi ujue huyo kakuelewa ila anaongezea tu maneno yake,imekuingia fundo
Cyo kumalizia kwa matusi nimekupokea na moto uliokuja nao.
 
Kuna mtu hafurahi hao watoto kupata nafuu anatamani litokee la kutoka ale michango
 
Mkono wa Bwana Yesu Kristu uwe juu yao wapate kupona haraka. Amani yake Yesu Kristu iwatawale wazazi,walezi,wauguzi na wale wote wenye mapenzi mema kwa wagonjwa.
 
Eti kuna boya hapa pembeni linasema eti bora kua mgonjwa Marekani kuliko kua mzima Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…