Mama anacheka kwa kufika Marekani bila kutarajia katika maisha yake. Tuwaombee kwa pamoja
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama anacheka kwa kufika Marekani bila kutarajia katika maisha yake. Tuwaombee kwa pamoja
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama anacheka kwa kufika Marekani bila kutarajia katika maisha yake. Tuwaombee kwa pamoja
Kumaanisha baba wa mtotoKuzaa Kuzuri bwana! angekua Baba angekua Arushaa anasubiri kutumiwa picha wasapu
Mama anacheka kwa kufika Marekani bila kutarajia katika maisha yake. Tuwaombee kwa pamoja
Ina ukakasi kidogo,nadhani afya ya mtoto wake ni kitu cha msingi sana kuliko hayo mengine..TAFAKARI HOJA YAKO , "MAMA ANACHEKA KWA KUFIKA MAREKANI BILA KUTARAJIA KATIKA MAISHA YAKE" INA UKAKASI !!!!
Acha akili mbovu mkuu,kucheka kwake bila shaka hakuhusiani na marekani Bali matumaini aliyonayo juu ya Afya ya mwanae ndio sababu ya kicheko chake,wewe unadhani isingetokea tokea ajali mama huyu asingekwenda marekani je angepungukiwa chochote!? Muda mwingine tufikiri kwa kina zaidi tuweke upumbavu wetu pembeniMama anacheka kwa kufika Marekani bila kutarajia katika maisha yake. Tuwaombee kwa pamoja
Tuwape wababa heshima zao ,hata wao hawalali usingizi na anapopotelewa na kijana kama wale waliopotea basi kovu lake hudumu milele japo halionekani kwa urahisi kwenye nyuso zao,hakuna baba timamu atayepuuza machungu ya kupoteza mtotoKuzaa Kuzuri bwana! angekua Baba angekua Arushaa anasubiri kutumiwa picha wasapu
Hajasema sababu ya kucheka, ulichosema ni possibility na nilichosema ni possibility! Yeye kucheka kufika marekani hukuimanishi kafurahia kuumia kwa mtoto bali pengine matibabu bora ukilinganisha na huduma zile za mwanzo za Arusha. Ukiweza kufikia kwa upana huo, next time utaacha kuwa "blood fool"Acha akili mbovu mkuu,kucheka kwake bila shaka hakuhusiani na marekani Bali matumaini aliyonayo juu ya Afya ya mwanae ndio sababu ya kicheko chake,wewe unadhani isingetokea tokea ajali mama huyu asingekwenda marekani je angepungukiwa chochote!? Muda mwingine tufikiri kwa kina zaidi tuweke upumbavu wetu pembeni
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ukiona mtu anamalizia kwa matusi ujue huyo kakuelewa ila anaongezea tu maneno yake,imekuingia fundoHajasema sababu ya kucheka, ulichosema ni possibility na nilichosema ni possibility! Yeye kucheka kufika marekani hukuimanishi kafurahia kuumia kwa mtoto bali pengine matibabu bora ukilinganisha na huduma zile za mwanzo za Arusha. Ukiweza kufikia kwa upana huo, next time utaacha kuwa "blood fool"
Tuwape wababa heshima zao ,hata wao hawalali usingizi na anapopotelewa na kijana kama wale waliopotea basi kovu lake hudumu milele japo halionekani kwa urahisi kwenye nyuso zao,hakuna baba timamu atayepuuza machungu ya kupoteza mtoto