Ahsante kwa kumpa muongozohilo la kutapika ndio sjui lakini mama ake anampaje chakula?? asimkabe kisijempalia mkakosa mtoto, ajaribu kumuwashia tv aweke katuni mtoto atakula kama anakula huku anacheza mama inabii awe mpole afate hivohivo
miaka minne ni mingi mtoto kugoma kula jamani hebu mpelekeni hospital kubwa wamwangalie digestive system yake kwan alivokua mdogo alikua ni hivo hivo au
mimi wangu anakimbilia three good years lakini hapo kwenye kula, ukitaka ale mle wote yan pakua sahani yako yeye muekee yake hapo atakula useme nna kaz ngoja nimuwashishe ale hagusi hata tonge na alivokua mdogo alikua ukimpakata hali kwa hio akienda huku nampa kijiko akirudi huku ana kijiko mpaka anamaliza yan uvunje kazi kweli kweliAhsante kwa kumpa muongozo
Anakula mwenyewe kwenye sahani yake. Na hata muda mwingine anakula na mtoto mwenzie lakini huyo mwenzake atakula kingi kuliko yeye. Tatizo ni la muda mrefuhilo la kutapika ndio sjui lakini mama ake anampaje chakula?? asimkabe kisijempalia mkakosa mtoto, ajaribu kumuwashia tv aweke katuni mtoto atakula kama anakula huku anacheza mama inabii awe mpole afate hivohivo
miaka minne ni mingi mtoto kugoma kula jamani hebu mpelekeni hospital kubwa wamwangalie digestive system yake kwan alivokua mdogo alikua ni hivo hivo au
huyo mtoto huko nyuma mama ayake alikua anampaje chakula?? anamkaba?? anampa ale akiskataa anamuacha?? anamuacha ale hata kama masaa sita bila kumtaftia mbinu?? tafteni kile kitu anachokipenda like ukila ukimaliza nitakupa zawadi hio aipendayo mind you umpe kweli la sivo atajenga mazoeaAnakula mwenyewe kwenye sahani yake. Na hata muda mwingine anakula na mtoto mwenzie lakini huyo mwenzake atakula kingi kuliko yeye. Tatizo ni la muda mrefu
Naendelea kujifunza, wangu anatimiza miezi sita sasa na ligi ya chakula ndio inaanza hivi, lazima hizi mbinu nizijuemimi wangu anakimbilia three good years lakini hapo kwenye kula, ukitaka ale mle wote yan pakua sahani yako yeye muekee yake hapo atakula useme nna kaz ngoja nimuwashishe ale hagusi hata tonge na alivokua mdogo alikua ukimpakata hali kwa hio akienda huku nampa kijiko akirudi huku ana kijiko mpaka anamaliza yan uvunje kazi kweli kweli
true, japo changamotoMtoto wako usimlazimishe kula
Mwanao ana low anabolism rate hii inaturn back catabolic pia iwe chini hivyo chakula anachokula kidogo chaweza kumfanya kukaa bila kula muda mrefu kuliko mtu mwingine.
Hivyo huna haja ya kusumbuka kama ana afya njema na anacheza vzr.
Huyo ndiyo kawaida yake ukimlazimisha kula atatapika tu maana mwili unapeleka taarifa za kuwa kashiba aisipeleke kingine hakitafanyiwa kazi
Be humble
Mwache mtoto atake kula mwemyewe
chekini minyooMtoto wangu wa kiume wa miaka minne sijui ana shida gani maana hapendi kula na akila hutapika unapomlazimisha.
Tumempeleka hospital hakuna cha zaidi ya kumpa dawa za vitamin.
Amechangamka anacheza vizuri ila linapokuja swala la kula ni mtihani kwake.
Vyakula tunavyompa ni vya kawaida tunavyokula wanafamilia ndizi, wali,ugali,mkate, matunda nk. Uji pia wa lishe pia.
Anapenda vinywaji artificial soda,juice ambavyo mi wenyewe na mamake huwa hatumpi.
Tafadhali naomba msaada