MTOTO WANGU ANATATIZO LA KUZIBA KWA UTUMBO MAPANA (Hirschsprung’s disease) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MTOTO WANGU ANATATIZO LA KUZIBA KWA UTUMBO MAPANA (Hirschsprung’s disease)

Discussion in 'JF Doctor' started by Kurunzi, Oct 16, 2012.

 1. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Jf Doctor.

  Mtoto wetu wa 7 amekuwa na tatizo hilo kwa muda mrefu sasa ambapo awali hatukujua kimachomsibu ila tuliona anapata tatizo la kuumwa tumbo kila wakati tukienda kwa Doctors wanamchek na kuishia kumpa Antibiotic hata huivyo afya yake ikwainazidi kudorora pia uzito unapungua.

  Tuliamua kumpeleka kwa dr buigwa wa watoto ndipo alipogundua tatizo hilo kwa kuziba kwa utumbo ambapo amepatiwa dawa anazoendelea nazo.
  Tunategemea tarehe 30 mwezi huu Dr akamcheck tena kama atapaswa kufanyiwa upasuaji au la.

  Nitaomba wale wenye uzoefu juu ya ugonjwa huu na wale Dr.hapa kwa msaada zaidi na ushauri.
   
 2. K

  KWA MSISI Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni sana na mungu atamsaidia atapona,by the way madaktari wamo humu natarajia watakushauri.
   
 3. Danny Massawe

  Danny Massawe JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 907
  Likes Received: 258
  Trophy Points: 80
  Poleni
  Huo ugonjwa unatibika kwa asilimia mia kwa njia ya operesheni, kaka dkt amegungua atapina.
   
Loading...