wandugu, nilipata mtoto na binti mmoja miaka kadhaa iliyopita, hatukuoana wala kuwahi kuishi pamoja, nilimchukua mtoto akiwa na miaka miwili (pls dont ask why)na nilimlea mwenyewe hadi nilipooa, hii ikiwa ni miaka miwili na nusu baadae, mke wangu alimkubali na kumlea mtoto kwa mapenzi yote kiasi kwamba ni wachache mno ambao wanafahamu kuwa yeye sie mama yake mzazi, hata mtoto na wadogo zake hawalifahamu hilo na baadhi ya ndugu zangu pia. mama mzazi wa mtoto alishaolewa na ana maisha yake kwa mumewe na watoto wao na tuna mawasiliano ya msimu kuhusu mtoto, hajawahi kumuona mwanae kwa zaidi ya miaka nane sasa! tatizo linakuja ni kwamba mtoto amekua na ana shughuli mbeleni ambayo sidhani kama itakuwa jambo la busara mama yake kutohudhuria au kutopata taarifa, je mtoto, wadogo zake, na mama yake(mke wangu) watalipokeaje?!nachelea kufanya lolote litakaloikosesha familia yangu amani, i love my family na siko tayari kuona hili litokee,je nimpotezee tu mama yake bila kumfahamisha? but in otherside ana haki kwani ni mwanae! ni wakati gani muafaka wa kumuweka wazi mtoto kuhusu hili au nalo nilipotezee hadi atakapokuja gundua mwenyewe mbele ya safari??seriosly hili linanitatiza na noamba ushauri wako..tafadhali usinihikumu kwa makosa ya nyuma, nakaribisha ushauri wako..
Hapo ndipo na mie nimejiuliza, hayo mawasiliano ni ya juu ya nini, kuna wanawake wana roho ngumu sana, mtoto umeingia leba mwenyewe usimuone miaka nane? halafu unataka kwenda kwenye sherehe, huyu mama ni mjinga wala hastahili kwenda kwenye hiyo sherehe ata mconfuse tu mtoto keshazoea maisha yakemna mawasiliano ya msimu lakini hajawahi kuona mtoto wake kwa zaidi ya miaka 8?????
wandugu, nilipata mtoto na binti mmoja miaka kadhaa iliyopita, hatukuoana wala kuwahi kuishi pamoja, nilimchukua mtoto akiwa na miaka miwili (pls dont ask why)na nilimlea mwenyewe hadi nilipooa, hii ikiwa ni miaka miwili na nusu baadae, mke wangu alimkubali na kumlea mtoto kwa mapenzi yote kiasi kwamba ni wachache mno ambao wanafahamu kuwa yeye sie mama yake mzazi, hata mtoto na wadogo zake hawalifahamu hilo na baadhi ya ndugu zangu pia. mama mzazi wa mtoto alishaolewa na ana maisha yake kwa mumewe na watoto wao na tuna mawasiliano ya msimu kuhusu mtoto, hajawahi kumuona mwanae kwa zaidi ya miaka nane sasa! tatizo linakuja ni kwamba mtoto amekua na ana shughuli mbeleni ambayo sidhani kama itakuwa jambo la busara mama yake kutohudhuria au kutopata taarifa, je mtoto, wadogo zake, na mama yake(mke wangu) watalipokeaje?!nachelea kufanya lolote litakaloikosesha familia yangu amani, i love my family na siko tayari kuona hili litokee,je nimpotezee tu mama yake bila kumfahamisha? but in otherside ana haki kwani ni mwanae! ni wakati gani muafaka wa kumuweka wazi mtoto kuhusu hili au nalo nilipotezee hadi atakapokuja gundua mwenyewe mbele ya safari??seriosly hili linanitatiza na noamba ushauri wako..tafadhali usinihikumu kwa makosa ya nyuma, nakaribisha ushauri wako..
Achana nae, ale starehe zake huko na mumewe halafu nyie mbaki mnagombana na mkeo,mwache kabisa baada ya sherehe ndio umwambie, kwamba jana tulimfanyia mtoto sherehe
Hapo ndipo na mie nimejiuliza, hayo mawasiliano ni ya juu ya nini, kuna wanawake wana roho ngumu sana, mtoto umeingia leba mwenyewe usimuone miaka nane? halafu unataka kwenda kwenye sherehe, huyu mama ni mjinga wala hastahili kwenda kwenye hiyo sherehe ata mconfuse tu mtoto keshazoea maisha yake
Hebu vaa viatu vya huyu mama na useme kama wewe ungeweza kuishi bila kumuona/kufahamiana na damu yako.
Usimwalike kabisa, alikuwa wapi siku zote atokee kwenye sherehe tu, ulimwalika kumpeleka mtoto siku ya kwanza shuleni? ulimwalika nakumuita wakati mtoto analia usiku mnambembeleza, wakati nyie mmebanwa na shughuli mtoto hana wa kubaki nae mlimuita, kwa kweli usimkwaze binti wa watu huyo ndio mama yake
kwa hiyo unataka kusema kuwa kulikuwa na option moja tu ya mpaka mama aende? Huyo baba angempeleka huyo binti kumsalimia mama yake ingekuwa kosa? Assume kuwa we ndo huyo binti!