LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,977 Reaction score 37,879 Aug 3, 2013 #1 Huyu ni Haroun Rashid Juma Kahena almaarufu kama Inspector Haroun. Hii ilikuwa jana, kwenye mnuso wa Iftar ulioandaliwa Ikulu kwa hisani ya Mh. Rais Jakaya Kikwete. Kwa picha zaidi za tukio hilo, tembelea : http://www.mungwakabili.blogspot.com
Huyu ni Haroun Rashid Juma Kahena almaarufu kama Inspector Haroun. Hii ilikuwa jana, kwenye mnuso wa Iftar ulioandaliwa Ikulu kwa hisani ya Mh. Rais Jakaya Kikwete. Kwa picha zaidi za tukio hilo, tembelea : http://www.mungwakabili.blogspot.com
Nicksixyo JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 944 Reaction score 263 Aug 3, 2013 #3 Ikulu kuna vitumbua!!!!!!!!!!
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 Aug 3, 2013 #4 Wandugu, japo hiyo inatosha " wamekumbukwa " angalau kula futari pamoja....
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,506 Reaction score 7,445 Aug 3, 2013 #5 Watoto wa masaki awapo "Vox populi,Vox dei"
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,824 Reaction score 23,626 Aug 3, 2013 #6 Nicksixyo said: Ikulu kuna vitumbua!!!!!!!!!! Click to expand... Yeah. Lkn si vya mchele vya kuku au vya nyama
Nicksixyo said: Ikulu kuna vitumbua!!!!!!!!!! Click to expand... Yeah. Lkn si vya mchele vya kuku au vya nyama
Nicksixyo JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 944 Reaction score 263 Aug 3, 2013 #7 Angel Nylon said: Yeah. Lkn si vya mchele vya kuku au vya nyama Click to expand... Angel Nylon waonaje ukinifundisha hayo mapishi please.
Angel Nylon said: Yeah. Lkn si vya mchele vya kuku au vya nyama Click to expand... Angel Nylon waonaje ukinifundisha hayo mapishi please.