Hii ni dharau na dhihaka kwa Watanzania na Jeshi lao kwa kiwango cha juu kabisa.
Na huyu mama akifanikiwa kubaki madarakani its obvious itakuwa ni kwa sababu ya huyu mpumbavu.
TUlidharauliwa na Kagame ila siamini kama Jeshi letu limefikia kudharauliqa kwa kiwango hiki hadi na huyu mtoto wa Museven.
Na haya ndo matokeo ya kuwa na Jenerali wa hovyo kama Mkunda
Hivi vyeo vya ma-General mbona vimekuwa vya kipuuzi puuzi namna hii siku hizi?Kwa upande wa pili tunajua kuwa hii ni deal ,watu wanataka kufanya biashara Kodi zetu zinahaka kwenda kutumika kuja kumwagwa damu za watanzania .
Binafsi naona hiyo ndiyo itakuwa tamu kubababake , wacha waje ili vyuma vianze kukohoa rasmi tofauti nasasa inatumika njia ndefu sana .
Mama ruhusu waje , waleteeee ili madogo wakapuumzike ,kiwake rasmi.
Dogo sharubu zake zinampa kiburi sana .
Ni Jeshi la hovyo, kuliko wananchi wenyewe.Hii ni dharau na dhihaka kwa Watanzania na Jeshi lao kwa kiwango cha juu kabisa.
Na huyu mama akifanikiwa kubaki madarakani its obvious itakuwa ni kwa sababu ya huyu mpumbavu.
TUlidharauliwa na Kagame ila siamini kama Jeshi letu limefikia kudharauliqa kwa kiwango hiki hadi na huyu mtoto wa Museven.
Hii ni duniani kote, vyeo kijeshi huishia 3 star general, zaidi ya hapo ni vyeo vya kisiasa. Haya ni maneno ya Col. Douglas MacGregor.Hivi vyeo vya ma-General mbona vimekuwa vya kipuuzi puuzi namna hii siku hizi?
let him try.General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake , asiwaze , yeye amgongee tu kwenye No zake atafika kwa haraka.
Lengo hapo nikuja kuongeza nguvu ya kuwadhibiti watu wanaopigania haki zao kwenye Taifa lao then yeye anawatazama kwa jicho la kuwa ni waovu.
Hii nikama kusema lile deal lao la mwanzo (wale wanajeshi waliyopeana kimyakimya kutoka Uganda) nikama wanaona haujaleta matokeo ya moja kwa moja baada ya kudhibitiwa kistaarabu tu sasa wanataka kuleta rasmi .
Kwa upande wa pili tunajua kuwa hii ni deal ,watu wanataka kufanya biashara Kodi zetu zinahaka kwenda kutumika kuja kumwagwa damu za watanzania .
Binafsi naona hiyo ndiyo itakuwa tamu kubababake , wacha waje ili vyuma vianze kukohoa rasmi tofauti nasasa inatumika njia ndefu sana .
Mama ruhusu waje , waleteeee ili madogo wakapuumzike ,kiwake rasmi.
Dogo sharubu zake zinampa kiburi sana .
Namukuhakikishia huyu ***** anapapaswa misa ya kwanza tu.
View attachment 3496364
Daaah mkuu heri wewe unapata nguvu ya kucheka na kucheka I hope haupo nchini na kama haupo haya unayoyaona akili yako inakufanya uone ni AI tu na si uhalisia!Hivi Uganda wana Jeshi au Migambo, ni vita vita au mapigano yapi walishawahi kushinda ππ, ni hivyo tu wamekuja kuuwa Tz Ila sio kupigana maana wanashindana na watu wasio na silaha ni sawa hawa polisi wetu bila silaha ni WEUPEeee, na watu wanamjua huyo jamaa ni mropokaji tu, Ngoja tuikomboe nchi alafu aombe mechi, anafikiri Watz ni Waganda kwaajili ni nchi inayoongozwa na familia yake Lea century sasa π
Huyu mjinga anasahau amekulia mikononi mwetu....General Muhozi (yule mtoto wa Rais Museven ) anamwambia Rais Samia Suluhu Hassani kwamba kama atakuwa anahitaji msaada wowote kutoka kwake kutokana na hii hali unayoipitia kwenye Taifa lake , asiwaze , yeye amgongee tu kwenye No zake atafika kwa haraka.
Lengo hapo nikuja kuongeza nguvu ya kuwadhibiti watu wanaopigania haki zao kwenye Taifa lao then yeye anawatazama kwa jicho la kuwa ni waovu.
Hii nikama kusema lile deal lao la mwanzo (wale wanajeshi waliyopeana kimyakimya kutoka Uganda) nikama wanaona haujaleta matokeo ya moja kwa moja baada ya kudhibitiwa kistaarabu tu sasa wanataka kuleta rasmi .
Kwa upande wa pili tunajua kuwa hii ni deal ,watu wanataka kufanya biashara Kodi zetu zinahaka kwenda kutumika kuja kumwagwa damu za watanzania .
Binafsi naona hiyo ndiyo itakuwa tamu kubababake , wacha waje ili vyuma vianze kukohoa rasmi tofauti nasasa inatumika njia ndefu sana .
Mama ruhusu waje , waleteeee ili madogo wakapuumzike ,kiwake rasmi.
Dogo sharubu zake zinampa kiburi sana .
Namukuhakikishia huyu ***** anapapaswa misa ya kwanza tu.
View attachment 3496364
Inabidi nikubaliane na unayosema mkuu, maana hata huyo Col Magwega simjui, na alichokisema kilitokana na nini hasa!Hii ni duniani kote, vyeo kijeshi huishia 3 star general, zaidi ya hapo ni vyeo vya kisiasa. Haya ni maneno ya Col. Douglas MacGregor.
Sasa sielewi wewe utawashangaa wenzio, kama hata huwezi kuwa na akili ndogo tu ya kutambua kwamba Samia anatumia 'template' ile ile anayoitumia M7 kuendelea kuwa madarakani kwa nguvu.Uwa nashangaa ukisoma mada za JF watanzania wanavyojisifia security prowess ya nchi, wakati wanasiasa majizi machache wanaweza igeuza nchi kuwa ya hovyo kama East Congo in a matter of day kama tunavyojionea.