Amani hilo ni kweli, yaani huyo CAG asambazwe vyuo vyote vya uma na taasisi zote, watashangaa na kushangauka kwamba ufisadi upo kila kona isipokuwa unazidiana viwango tu!
ni kweli na ni imani yangu kuwa haya yote yatashughulikiwa ipasavyo kwa kutambua ukubwa na uzito wa tatizo,,wekeni wazi matatizo yenu yapate kutatuliwa maana kwa kukaa kimya nani ataona??na ndio sababu UDOM wameona waanzishe na kuendeleza MIGOMO.

Binafsi nawapongeza sana UDOM kwa kufungua njia. Ni bahati mbaya sana Watawala wetu hawako Proactive na si wasikivu mpaka watikishwe. Hivi kila wiki katika Baraza la Mawaziri huwa wanaongelea nini hasa?