Mimi nilimuibia antie yangu shilingi 100,zilikuwa nyingi sana mezani kwake karibu na kitanda maana alikuwa akiuza pombe.Nilipokuwa mdogo niliwahi muibia bimkubwa shilling 200 aliyoweka mezani nikaenda kula chocolate na kuwatambia shule darasa la pili hio maana alikuwa ananipa shilingi 30 za kutumia shule nilikuwa sishibi na akasema haongezi.
Kimbembe niliporudi alijua nitandakiwa kweli kweli .
Asingenichapa Leo ningekuwa napiga watu roba za mbao na bisibisi au bunduki kabisa
Samaki mkunje angali mbichi
Una uhakika kama dogo kaiba iyo pesa?Nilipokuwa mdogo niliwahi muibia bimkubwa shilling 200 aliyoweka mezani nikaenda kula chocolate na kuwatambia shule darasa la pili hio maana alikuwa ananipa shilingi 30 za kutumia shule nilikuwa sishibi na akasema haongezi.
Kimbembe niliporudi alijua nitandakiwa kweli kweli .
Asingenichapa Leo ningekuwa napiga watu roba za mbao na bisibisi au bunduki kabisa
Samaki mkunje angali mbichi
Lengo ni kumuadhibu au kumfundisha ili asitende hilo kosa tena?Hivi mtoto akiiba baba anatakiwa ampe adhabu gani mtoto wake???
Wewe unao uhakika kuwa hajaiba ?Una uhakika kama dogo kaiba iyo pesa?
Iyo pesa ni nyingi sana kwa umri wake angekuwa kachukua kweli wangemkuta nayo au watoto wenzie wangemuona nayo anatumia,
Na hata kama kachukua wewe unaona iyo adhabu aliyopewa ni sawa?
Mimi sikai nao nyumba moja ila mimi nimeisha kuwa victim wa kesi kama izo,Wewe unao uhakika kuwa hajaiba ?
Unaishj nao nyumba moja
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app