Mtoto wa kuzingiziwa

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
2,400
Reaction score
1,019
Kuna jamaa yangu leo tulikuwa kijiweni akaniambia kitu hiki, mkewe ana mtoto ila alimpata katika mazingira
yanayompa mashaka asilimia 98 na ametumia madaktari kutokana na tarehe za mimba akaambiwa siku alizokutana mimba haiwezekani.

Basi akavumilia mpaka sasa mtoto ana mwaka miezi 6 baba hawajafanana hata kidogo kafanana na mama yake means mkewe sasa huyu mtoto anampenda jamaa balaaa kila akimwona hata kula hali kucheza hachezi mpaka jamaa ambebe.

Au acheze naye kidogo ili arizike na jamaa huyo ni mtoto wake wa nne na wote kwa kweli wanafanana na mama yao means mkewe sasa huyu bwana hana raha na kaniambia kwa huzuni kubwa Kikubwa nilichomwambia tutaongea kesho

Naomba kama kuna mwenye mchango aniongezee please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…