Kwani alivopelekwa kwa hiyo familia mpya hakuambiwa anaenda kwa nani? kama familia nzima inamfahamu iweje huyu kijana anakifanya mbumbumbu? Na mahusiano gani ameanzisha na dada Zake akiwa na miaka 14? wakae kifamilia waongee. haiwezekani mtoto wa miaka 14, mgeni kwenye familia , aje kuleta vurugu nyumbani. Baba asimame mbele ya familia, aeleze kila kitu, mambo yaendelee. Ikishindikana arudishwe kwa mama yake aishi kwa amani, mradi baba anapeleka pesa za matumizi.