Mtoto ni wa nani....????

ACCOUNT FULL

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
1,995
Reaction score
389
Hivi mtoto ni wa BABA au ni wa MAMA? Cheki kisa hiki....

Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili HAKIMU aamue nani akae na mtoto!

MUME; Akasimama akauliza hivi "Hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye machine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zangu?

MKE; Akasimama na kuuliza hivi,"Hakimu, hivi ukimwaga mbegu katika shamba la watu, mti ukaota, utakuwa wa kwako au wa mwenye shamba?

Tumsaidieje hakimu??????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…